Waliooa, naombeni msaada

Waliooa, naombeni msaada

both teams to score-YES

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2022
Posts
988
Reaction score
1,882
Nimebahatika kupata mke na nina muda wa miezi 9 sasa. Cha ajabu toka ndoa mpaka leo mke hajawahi kua na hisia namie.

Na miezi hyo 9 tumesex chini ya mara 3 na zote kwa kubembeleza. Na nisipoomba sex yeye hana haja ya kutamani tendo la ndoa mpaka nianze mie, na hata nikianza sioni ushirikiano.

Wakuu niko dilemma naombeni mawazo yenu.
 
Nimebahatika kupata mke na nina muda wa miez 9 sasa..Cha ajabu toka ndoa mpk leo mke hajawahi kua na hisia namie..Na miezi hyo 9 tumesex chini ya mara 3 na zote kwa kubembeleza..Na nisipoomba sex yeye hana haja ya kutamani tendo la ndoa mpaka nianze mie..na hata nikianza..sioni ushirikiano..
Wakuu niko dilemma naombeni mawazo yenu.
Alitaka harusi, harusi mlisha fanya na imepita. Mambo ya unyumba na ndoa yeye sio chaguo lake, yeye alitaka harusi tu
 
Nimebahatika kupata mke na nina muda wa miez 9 sasa..Cha ajabu toka ndoa mpk leo mke hajawahi kua na hisia namie..Na miezi hyo 9 tumesex chini ya mara 3 na zote kwa kubembeleza..Na nisipoomba sex yeye hana haja ya kutamani tendo la ndoa mpaka nianze mie..na hata nikianza..sioni ushirikiano..
Wakuu niko dilemma naombeni mawazo yenu.
Mwanamke asie kua na hisia na wewe ni wakazi gani? Mshauri arudi kwao kwa mda ili ajitafakari umpya
 
Kama ni ndoa kwajili ya mimba basi ww tafta mke mwingine huyo akizaa mpe talaka ww fanya mambo yako hutakaa uenjoy ndoa yako kwasababu haumfurahishi kwenye tendo na hawez kukuambia
mkuu kabla y ndoa kna kauli aliisema nkaihis bi utani ila naikumbk mpk leo.. "YAANI KUSEX NILIVYOKUA SIPENDI"
 
Mkeo anatakiwa yy ndio ajenge mazingira ya ww kumuweka ukuni. Anatakiwa jioni ashapika katafuta movie nzuri ya kuangalia au kashaangalia ratiba ya dstv anajua muda fulani kutakua na kipindi kizuri anajiandaa ukitoka kazini au mishemishe anakuandaa vizur kwa kukupa maji uoge kachai kidogo alaf mnakula mkimaliza kashaweka mambo safi mnakaa sebuleni mnachek vipindi hapa na pale alafu anakusogeza chumbani ambapo atakua kaandaa kulingana na siku yenyewe vi masaji vya hapa na pale alafu anakupa nyama. Sasa kama hawez hayo mfundishe na kama hataki piga chini zipo pisi kibao zinattafuta watu wa kuwafanyia hayo. Alafu pia unauhakika hiyo mimba ni yako au unaharibiwa ramani ya maisha yako😂😂😂😂😂😂😂
 
Ilikuwaje mpaka mkaona??? mliishi uchumba kwa muda gani?? je huwa unamsugua vya kutosha au ndo unampaka shombo mtoto wa watu anabaki na shombo... kama huwa unamkula vizuri toka uchumba ila leo anakubania shoo jua ni mbinu ya kipumbavu inayotumiwa na wanawake wengi kutaka kumcontrol mwanaume so wew tafuta mcheopuko yani kamwe usije kumuanza yeye alafu baada ya miezi 6 mpe talakaaa maana kuna anaemkulaa huko nje na hio ndoa yenu ni batili.
 
Mkeo anatakiwa yy ndio ajenge mazingira ya ww kumuweka ukuni. Anatakiwa jioni ashapika katafuta movie nzuri ya kuangalia au kashaangalia ratiba ya dstv anajua muda fulani kutakua na kipindi kizuri anajiandaa ukitoka kazini au mishemishe anakuandaa vizur kwa kukupa maji uoge kachai kidogo alaf mnakula mkimaliza kashaweka mambo safi mnakaa sebuleni mnachek vipindi hapa na pale alafu anakusogeza chumbani ambapo atakua kaandaa kulingana na siku yenyewe vi masaji vya hapa na pale alafu anakupa nyama. Sasa kama hawez hayo mfundishe na kama hataki piga chini zipo pisi kibao zinattafuta watu wa kuwafanyia hayo. Alafu pia unauhakika hiyo mimba ni yako au unaharibiwa ramani ya maisha yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu hakuwah nifanyia hayo yote...mbaya zaid hakuwahi sema hata amenimiss anahitaj penzi lang..na nkiondoka kazini kurud saa 11 jion..wala kunijulia hali nkiwa kazin hakuna..na INSHORT nsipomuambia namhitaj kimapenz hata mwaka..yeye hana habari..SIJUI NMEOLEA NINI MZARAMO YLE.
 
Ilikuwaje mpaka mkaona??? mliishi uchumba kwa muda gani?? je huwa unamsugua vya kutosha au ndo unampaka shombo mtoto wa watu anabaki na shombo... kama huwa unamkula vizuri toka uchumba ila leo anakubania shoo jua ni mbinu ya kipumbavu inayotumiwa na wanawake wengi kutaka kumcontrol mwanaume so wew tafuta mcheopuko yani kamwe usije kumuanza yeye alafu baada ya miezi 6 mpe talakaaa maana kuna anaemkulaa huko nje na hio ndoa yenu ni batili.
Mkuu hivi ni sahihi kila.siku kumuanza mke kwa sex?yaani usipomuanza basi hafanyi chochote.
 
Nimebahatika kupata mke na nina muda wa miez 9 sasa..Cha ajabu toka ndoa mpk leo mke hajawahi kua na hisia namie..Na miezi hyo 9 tumesex chini ya mara 3 na zote kwa kubembeleza..Na nisipoomba sex yeye hana haja ya kutamani tendo la ndoa mpaka nianze mie..na hata nikianza..sioni ushirikiano..
Wakuu niko dilemma naombeni mawazo yenu.
Umejaribu kuzungumza naye ndugu yangu? Mfanye mkeo rafiki kwanza kabla haujamfanya mke sijui nimeeleweka?? Miez tisa mara tatu?? Mimi nikajua Kwa wiki?? Halafu ndoa ndio kwanza changa hata mtoto hana akipata mtoto je?? Zungumza naye pengine ana tatizo hata kama tuseme labda anachepuka asingekuwa mjinga namna hiyo Ili Hali ndoa changa ninawaza pengine ana tatizo la kisaikolojia.

Labda nikuulize swali na wewe kwa miez yote tisa umeishije?? Au umejiunga kwenye kile chama?
 
Mkuu hakuwah nifanyia hayo yote...mbaya zaid hakuwahi sema hata amenimiss anahitaj penzi lang..na nkiondoka kazini kurud saa 11 jion..wala kunijulia hali nkiwa kazin hakuna..na INSHORT nsipomuambia namhitaj kimapenz hata mwaka..yeye hana habari..SIJUI NMEOLEA NINI MZARAMO YLE.
😂😂😂😂😂😂 Umeoa mzaramo na unaonekana una roho ya kulia lia alooo nakushauri kama mwanaume mwenzako tafta mke unanielewa sjui tafta mke huyo hana mpango na ww na wazaramo kama kawaida kukigawa hata kwa mpiga ngoma yeye kawaida utakuja lia ww nakuona na akili yako kama ushashikwa flani hivi vaa uanaume temana na hilo jitu au rudisha kwao waambie tatizo wamfunze wakishindwa piga chini au kama dini inaruhusu na mfuki umeshiba oa mke wa pili atakayekupa mahaba na furaha ndani kwako
 
Hii Dunia hatuishi na watu tu Wengine ni mapepo.Ndiyo maana tunaambiwa unapotaka kuoa mshirikishe Mungu .Wapo watu wameolewa na mapepo na mashetani BIla kujua Kwa sababu ya tamaa za ngono .Hawa mapepo Kwa macho ya kawaida wanaonekana ni watu ila Kwa macho ya rohoni sio watu ni mapepo yaliyovaa sura ya mwanadamu .

Kama wanaweza kumbadilisha mtu awe ngombe au mbuzi alafu anachinjwa watu wanakula nyama hiyo wakidhani wanakula nyama ya ngombe kumbe ni nyama ya mtu watashindwaje kujibadilisha kuonekana kama binadamu halisia.

Ndyo maana mnaambiwa msali na kumwomba Mungu kabla ya kuoa wengi wanadhani kuoa ni suala dogo dogo.

Na malengo ya huyo mwanamke shetani ni kukunyima penzi makusudi kabisa Ili mradi akusababishe uishi katika dhambi ya uzinzi .Ili utakapokufa unapokuwa katika hali hiyo Unakuwa Moja Kwa Moja wewe ni motoni alafu yeye anakuwa anakuwa amefanikisha mission yake ya kukupeleka motoni.

Mbaya zaidi unapokufa ndipo unapokuwa unagundua kumbe nilikuwa sijaoa mtu Bali shetani .Na huko motoni Kwa sababu huyo ni Pepo ana mamlaka zaidi Yako na anakutesa Tena huko huko motoni .Hii Dunia sio ya kawaida.
 
Umejaribu kuzungumza naye ndugu yangu? Mfanye mkeo rafiki kwanza kabla haujamfanya mke sijui nimeeleweka?? Miez tisa mara tatu?? Mimi nikajua Kwa wiki?? Halafu ndoa ndio kwanza changa hata mtoto hana akipata mtoto je?? Zungumza naye pengine ana tatizo hata kama tuseme labda anachepuka asingekuwa mjinga namna hiyo Ili Hali ndoa changa ninawaza pengine ana tatizo la kisaikolojia.

Labda nikuulize swali na wewe kwa miez yote tisa umeishije?? Au umejiunga kwenye kile chama?
Mkuu nimekaa nae sana zaidi ya mara 20 kumuambia tena in a very friendly manner..anajibu atabadlka..lakn sioni dalili yyte .kitandani wala tabia...Hlf kuhsu kua muumin wa uliyoyasema hapana
 
Back
Top Bottom