Waliooa, naombeni msaada

Waliooa, naombeni msaada

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umeoa mzaramo na unaonekana una roho ya kulia lia alooo nakushauri kama mwanaume mwenzako tafta mke unanielewa sjui tafta mke huyo hana mpango na ww na wazaramo kama kawaida kukigawa hata kwa mpiga ngoma yeye kawaida utakuja lia ww nakuona na akili yako kama ushashikwa flani hivi vaa uanaume temana na hilo jitu au rudisha kwao waambie tatizo wamfunze wakishindwa piga chini au kama dini inaruhusu na mfuki umeshiba oa mke wa pili atakayekupa mahaba na furaha ndani kwako
tatzo ana mimba mkuu na ina miez7..nkimuacha sitolaumiw
 
Umejaribu kuzungumza naye ndugu yangu? Mfanye mkeo rafiki kwanza kabla haujamfanya mke sijui nimeeleweka?? Miez tisa mara tatu?? Mimi nikajua Kwa wiki?? Halafu ndoa ndio kwanza changa hata mtoto hana akipata mtoto je?? Zungumza naye pengine ana tatizo hata kama tuseme labda anachepuka asingekuwa mjinga namna hiyo Ili Hali ndoa changa ninawaza pengine ana tatizo la kisaikolojia.

Labda nikuulize swali na wewe kwa miez yote tisa umeishije?? Au umejiunga kwenye kile chama?
na sikuwahi kuchepuka..coz nafight kutafta hela knowing that wife ndo ataniliwaza nkiwa nmechoka...ila tofauti kbs mkuu..wakuu ishu iko siriaz inaniumiza sn.
 
mkuu kabla y ndoa kna kauli aliisema nkaihis bi utani ila naikumbk mpk leo.. "YAANI KUSEX NILIVYOKUA SIPENDI"
asikudanganye awaye kiumbe yoyote mkuu, hakuna mwanamke hapendi sex, ila tunachukia kufanya na watu tusio na hisia nao, Mimi mwenyewe nikiwa sikupendi nitakuambia nachukia sex mno, ila kiukhalisia nikiwa na mtu ninayempenda hata nikimtazama tu ninalowa...!!
 
Basi ngj nifanye tu maamuz magumu..maana kila nkikaa na mshikaj wng ananihadithiahaga mke wake anamchosha kila siku anataka sex mpk mjamaa anamkimbia..yaan nawaza why me!!!na sikuwah Ripoti kwa mshenga bado..
 
Uongo mtupu jiongelee wewe tu
 
na sikuwahi kuchepuka..coz nafight kutafta hela knowing that wife ndo ataniliwaza nkiwa nmechoka...ila tofauti kbs mkuu..wakuu ishu iko siriaz inaniumiza sn.
Kwa sababu umesema umezungumza naye habadiliki basi ushauri wangu mrudishe kwao mpaka atakapobadilika, unafikiri mtoto mtapata kwa hiyo mara tatu kwa mwaka? Yenyewe unapewa kwa kususiwa? Kah!
 
So
Basi ngj nifanye tu maamuz magumu..maana kila nkikaa na mshikaj wng ananihadithiahaga mke wake anamchosha kila siku anataka sex mpk mjamaa anamkimbia..yaan nawaza why me!!!na sikuwah Ripoti kwa mshenga bado..
Unataka mfukuza kisa ngono

Ukute mwenzio Ni km Mimi ndo maana nimekwambia unipatie Mimi huyo Libido hipo chini sana
 
asikudanganye awaye kiumbe yoyote mkuu, hakuna mwanamke hapendi sex, ila tunachukia kufanya na watu tusio na hisia nao, Mimi mwenyewe nikiwa sikupendi nitakuambia nachukia sex mno, ila kiukhalisia nikiwa na mtu ninayempenda hata nikimtazama tu ninalowa...!!ushauri

asikudanganye awaye kiumbe yoyote mkuu, hakuna mwanamke hapendi sex, ila tunachukia kufanya na watu tusio na hisia nao, Mimi mwenyewe nikiwa sikupendi nitakuambia nachukia sex mno, ila kiukhalisia nikiwa na mtu ninayempenda hata nikimtazama tu ninalowa...!!
Ushauri mzuri. ila ww Carleen mkono wako unafaa kabisa kuchukua sheria mkononi
 
Nimebahatika kupata mke na nina muda wa miezi 9 sasa. Cha ajabu toka ndoa mpaka leo mke hajawahi kua na hisia namie.

Na miezi hyo 9 tumesex chini ya mara 3 na zote kwa kubembeleza. Na nisipoomba sex yeye hana haja ya kutamani tendo la ndoa mpaka nianze mie, na hata nikianza sioni ushirikiano.

Wakuu niko dilemma naombeni mawazo yenu.
Tombaneni kabla ya ndoa ili muwe na uhakika mnaridhishana.
Huyo mke ulilazimishwa kumuoa?
Unasumbua watu bure
 
Back
Top Bottom