Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,396
- 6,025
Hisia huwa hazilazimishwi bali hujengeka zenyewe na zikidumu hugeuka kuwa upendo wa dhati.Mwanamke asie kua na hisia na wewe ni wakazi gani? Mshauri arudi kwao kwa mda ili ajitafakari umpya
Apige chini huyo Ke maisha yendelee.