LuisMkinga
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 3,394
- 6,550
Kosa limeanzia hapahapana nlimjaza mimba..ndo ikaamuliwa
tuoane..na mimba yenyew ilikua siku nlimfosi sana tusex..
Kosa limeanzia hapahapana nlimjaza mimba..ndo ikaamuliwa
tuoane..na mimba yenyew ilikua siku nlimfosi sana tusex..
Wasioonjana sijawahi kuwaelewa..tatizo nini yaani?😅[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] walishindwa kuonjana kwanza. Wanafika mezani chakula hakina chumvi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbali na sex..nlitarajia mengi sn kuyapata kutoka kwake..kama nikienda kazini siagwi..nkiwa kazini siulizwi..nkiwa narudi siulizwi chochote..hicho ndo kimenifanya pia nichukie..AU hii ni normal kwa wake wote?Dah we jamaa ulikosea sana.
Kumbe yupo hivyo kabla ya ndoa? Basi ndo chaguo lako mvumilie.
Inaonekana sex sio kitu cha muhimu kwako.
Aisee ni shida sana hiyo, polemkuu mie sijisifii hua namuandaa vzr tu..na mby zaid nkiw nasex nae..ushiriakino hauwi Mutual.
Kwisha habari yako mseehapana nlimjaza mimba..ndo ikaamuliwa
tuoane..na mimba yenyew ilikua siku nlimfosi sana tusex..
Sio normal. Hayo yote ulitakiwa uyapate kabla ya ndoa. Yaani mnaishi kama walio kwenye ndoa ambao walishachokana kitambo na ndoa yao ipo juu ya mawe.Mbali na sex..nlitarajia mengi sn kuyapata kutoka kwake..kama nikienda kazini siagwi..nkiwa kazini siulizwi..nkiwa narudi siulizwi chochote..hicho ndo kimenifanya pia nichukie..AU hii ni normal kwa wake wote?
kaka kabla ya ujauzito hiyo tabiakaka kama ni mjamzito kuwa mpole kabisa, ni kawaida kwa wanawake wakiwa katika hali hiyo ya ujauzito kupoteza hisia kabisa ila siyo wote...hata tabia pia wanabadilika atakudhalau, Majibu siyo na kero nyingi nyingi unaweza ukaona anakudharau ila ni mabadiliko ya homoni mwilini mwake yanamuendesha
Ikaamuliwa?? Dahh kama uko zama za kale.hapana nlimjaza mimba..ndo ikaamuliwa
tuoane..na mimba yenyew ilikua siku nlimfosi sana tusex..
Japo sio mwanamke ila wapo wasiopenda sex ndgu. Wapo kabisaa na ni hawapendi kwasababu zao mbalimbali, wengine wanaona wanaume ni wachafu, wengine magonjwa, wengine ndo hao wasiofeel chochote wakisex, wengine ndo huhisi maumivu tu.asikudanganye awaye kiumbe yoyote mkuu, hakuna mwanamke hapendi sex, ila tunachukia kufanya na watu tusio na hisia nao, Mimi mwenyewe nikiwa sikupendi nitakuambia nachukia sex mno, ila kiukhalisia nikiwa na mtu ninayempenda hata nikimtazama tu ninalowa...!!
huruma yangu kua ana mimba yangu ndo ilinifny nivutike kumfanya awe mke wng..mengine sikuyapenda ndo maana nlimuonya kua kama anataka ndoa abadilike..akaniahidi ndo nikamuoa.Sio normal. Hayo yote ulitakiwa uyapate kabla ya ndoa. Yaani mnaishi kama walio kwenye ndoa ambao walishachokana kitambo na ndoa yao ipo juu ya mawe.
Labda tukuulize nini kilikuvutia kwake hadi ukaamua kumuoa? Nini special uliona kwake hadi ukapata msisimko kwamba huyu anafaa kuwa mke wako?
i wish ningempata wa namna hiyoDem wangu anavojitumaga kwa bed natamani nikuazime sje akupunguze machungu aisee
Acha nianze kumpenda kumbe kuna watu wanapitia magumu hivi..
Ulimwomba MUNGU kabla hujajiingiza ktk mahusiano na huyo Binti?Mkuu hakuwah nifanyia hayo yote...mbaya zaid hakuwahi sema hata amenimiss anahitaj penzi lang..na nkiondoka kazini kurud saa 11 jion..wala kunijulia hali nkiwa kazin hakuna..na INSHORT nsipomuambia namhitaj kimapenz hata mwaka..yeye hana habari..SIJUI NMEOLEA NINI MZARAMO YLE.
NakaziaHapa ndo shida ilipoanzia
Duh basi endelea kupambana na hali yako mkuu.huruma yangu kua ana mimba yangu ndo ilinifny nivutike kumfanya awe mke wng..mengine sikuyapenda ndo maana nlimuonya kua kama anataka ndoa abadilike..akaniahidi ndo nikamuoa.