Waliooa, naombeni msaada

Waliooa, naombeni msaada

Hii Dunia hatuishi na watu tu Wengine ni mapepo.Ndiyo maana tunaambiwa unapotaka kuoa mshirikishe Mungu .Wapo watu wameolewa na mapepo na mashetani BIla kujua Kwa sababu ya tamaa za ngono .Hawa mapepo Kwa macho ya kawaida wanaonekana ni watu ila Kwa macho ya rohoni sio watu ni mapepo yaliyovaa sura ya mwanadamu .

Kama wanaweza kumbadilisha mtu awe ngombe au mbuzi alafu anachinjwa watu wanakula nyama hiyo wakidhani wanakula nyama ya ngombe kumbe ni nyama ya mtu watashindwaje kujibadilisha kuonekana kama binadamu halisia.

Ndyo maana mnaambiwa msali na kumwomba Mungu kabla ya kuoa wengi wanadhani kuoa ni suala dogo dogo.

Na malengo ya huyo mwanamke shetani ni kukunyima penzi makusudi kabisa Ili mradi akusababishe uishi katika dhambi ya uzinzi .Ili utakapokufa unapokuwa katika hali hiyo Unakuwa Moja Kwa Moja wewe ni motoni alafu yeye anakuwa anakuwa amefanikisha mission yake ya kukupeleka motoni.

Mbaya zaidi unapokufa ndipo unapokuwa unagundua kumbe nilikuwa sijaoa mtu Bali shetani .Na huko motoni Kwa sababu huyo ni Pepo ana mamlaka zaidi Yako na anakutesa Tena huko huko motoni .Hii Dunia sio ya kawaida.
Ila walokole mna mambo jaman! Hih
 
Nimebahatika kupata mke na nina muda wa miezi 9 sasa. Cha ajabu toka ndoa mpaka leo mke hajawahi kua na hisia namie.

Na miezi hyo 9 tumesex chini ya mara 3 na zote kwa kubembeleza. Na nisipoomba sex yeye hana haja ya kutamani tendo la ndoa mpaka nianze mie, na hata nikianza sioni ushirikiano.

Wakuu niko dilemma naombeni mawazo yenu.
Alitaka ndoa Mrs Fulani basi.

Chakufanya mwombe Mungu akusaidie mpendwa mambo Mengi sana .
 
kaka kama ni mjamzito kuwa mpole kabisa, ni kawaida kwa wanawake wakiwa katika hali hiyo ya ujauzito kupoteza hisia kabisa ila siyo wote...hata tabia pia wanabadilika atakudhalau, Majibu siyo na kero nyingi nyingi unaweza ukaona anakudharau ila ni mabadiliko ya homoni mwilini mwake yanamuendesha
Mabadiliko gani hayo ya ujauzito mnayoya-overrate ilihali kamwe hayajawahi kubadilikia kuchukia pesa kama si mbwembwe tu za baadhi ya Ke?
 
Kikubwa aamini ndoa ni zaidi ya tendo akubali kumbeba mkewe na Hali aliyo nayo ....

Kama aliwahi kumwambia analichukia tendo ... Kuna uwezekano aliwahi pata unyanyasaji kupitia tendo Hilo... Huwenda yeye ndiye aliyefanya huo unyanyasaji au aliwahi kufanyiwa na wengine waliopita au kuna uwezekano huyu ndugu yetu hampi muda mwenzie wa kujiandaa
 
Mtafutie mbadala wake, wakati unasubiria hamu na hisia zake zifufuke
 
kwahyo mkuu mke wa namna hyo ni wakumfanyaje
Kwa Wakristo unapaswa uamini kwanza uwezo wa MUNGU (Yesu) kuwa hakuna kinachoshindikana kwake.

LUKA 1:37

Kumbuka vita vya gizani (shetani) hupigwa kwa nguvu za Kiroho (Mungu).

WAEFESO 6:10-15.

SILAHA ZA KUMSHINDA ADUI (Shetani):

* Dirii ya haki > YOHANA 9:31 (Usiwe na dhambi unapomwomba Mungu)

* Sala ya utakaso na msamaha > ZABURI 51.

* Imani thabiti > WAEBRANIA 11:6.

* Neno la MUNGU/Mungu > KUMBUKUMBU LA TORATI 4:24, YOHANA 17:17, 1:5, 1:14, ZABURI 119:105.

* Maombi ya kufunga na kusali sana > MATHAYO 17: 20-21.

* Damu ya YESU/Yesu > ISAYA 53, UFUNUO 12:11.

* ZABURI 23, 91, 35. LUKA 10:19.

NB:

Kwa nguvu zaidi za wingi wa maombi tafuta Wachungaji wanaomwabudu MUNGU katika Roho na Kweli, yani wasiwe MANABII wa uwongo > YOHANA 4:24. ISAYA 8:19-20, MATHAYO 24, MATHAYO 7:15-21, 2 WAKORINTHO 11:14-15, 1 UFUNUO WA YOHANA 4:1-5.
 
Hii Dunia hatuishi na watu tu Wengine ni mapepo.Ndiyo maana tunaambiwa unapotaka kuoa mshirikishe Mungu .Wapo watu wameolewa na mapepo na mashetani BIla kujua Kwa sababu ya tamaa za ngono .Hawa mapepo Kwa macho ya kawaida wanaonekana ni watu ila Kwa macho ya rohoni sio watu ni mapepo yaliyovaa sura ya mwanadamu .

Kama wanaweza kumbadilisha mtu awe ngombe au mbuzi alafu anachinjwa watu wanakula nyama hiyo wakidhani wanakula nyama ya ngombe kumbe ni nyama ya mtu watashindwaje kujibadilisha kuonekana kama binadamu halisia.

Ndyo maana mnaambiwa msali na kumwomba Mungu kabla ya kuoa wengi wanadhani kuoa ni suala dogo dogo.

Na malengo ya huyo mwanamke shetani ni kukunyima penzi makusudi kabisa Ili mradi akusababishe uishi katika dhambi ya uzinzi .Ili utakapokufa unapokuwa katika hali hiyo Unakuwa Moja Kwa Moja wewe ni motoni alafu yeye anakuwa anakuwa amefanikisha mission yake ya kukupeleka motoni.

Mbaya zaidi unapokufa ndipo unapokuwa unagundua kumbe nilikuwa sijaoa mtu Bali shetani .Na huko motoni Kwa sababu huyo ni Pepo ana mamlaka zaidi Yako na anakutesa Tena huko huko motoni .Hii Dunia sio ya kawaida.
Umenena vyema Sana mkuu👊
 
asikudanganye awaye kiumbe yoyote mkuu, hakuna mwanamke hapendi sex, ila tunachukia kufanya na watu tusio na hisia nao, Mimi mwenyewe nikiwa sikupendi nitakuambia nachukia sex mno, ila kiukhalisia nikiwa na mtu ninayempenda hata nikimtazama tu ninalowa...!!

Good point lakin sasa mdau hujampabushauri nn kifanyike
 
Back
Top Bottom