Kuna wanaume wanateseka nyieeee hadi huruma,Duh sasa mateso yote ya nini jamani? Mimi kama mtu akibadikika akionyesha kutonipenda nampa mwezi. Baada ya hapo akili yangu lazima ifanye maamuzi ya ajabu hadi nitajishangaa mwenyewe.
Naamini ndoa ni mapenzi....kama hayapo siwezi kukaa mwenye mazingira ya masononeko kwa muda mrefu
Kwan wewe kabila gani mkuu?Mkuu hakuwah nifanyia hayo yote...mbaya zaid hakuwahi sema hata amenimiss anahitaj penzi lang..na nkiondoka kazini kurud saa 11 jion..wala kunijulia hali nkiwa kazin hakuna..na INSHORT nsipomuambia namhitaj kimapenz hata mwaka..yeye hana habari..SIJUI NMEOLEA NINI MZARAMO YLE.
Hili linaweza likawa ndo chanzo cha tatizo, hata mimi nimefikiria hivyo.Basi ana jini mahaba
Hakuna ndoa hapo mkuu! mfanye muachane tu muweke makubaliano ya kulea mtoto tu!hapana nlimjaza mimba..ndo ikaamuliwa
tuoane..na mimba yenyew ilikua siku nlimfosi sana tusex..
Inaonesha umemuachia uongozi yeye.Nimebahatika kupata mke na nina muda wa miezi 9 sasa. Cha ajabu toka ndoa mpaka leo mke hajawahi kua na hisia namie.
Na miezi hyo 9 tumesex chini ya mara 3 na zote kwa kubembeleza. Na nisipoomba sex yeye hana haja ya kutamani tendo la ndoa mpaka nianze mie, na hata nikianza sioni ushirikiano.
Wakuu niko dilemma naombeni mawazo yenu.