Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,718
- 6,979
Kuna baadhi ya wanawake hawapendi kabisa "kusex" na wamezaliwa hivyo na upungufu wa hormones mwilini.YAANI KUSEX NILIVYOKUA SIPENDI"
Tendo la kusex linaongozwa zaidi na hormones. Inawezekana mkeo anamapungufu ya hormones fulani ndani ya mwili wake.
Tafuta Dacktari bingwa wa magonjwa ya wanawake atakusaidieni kutatua tatizo lenu.
Wanaokushauri kumwacha mkeo ni wapumbavu, usiwasikilize. Tatizo la mkeo linatibika kitaalamu kabisa.