Waliomuua Dr.Mgimwa hawa hapa

Kutambazuka....kutapambazuka....japo usiku mrefu sana kutambazukaaaa...!!!! Cc: Jenipher Mgendi
 
Duh! JF ni kiboko.kama wahusika wanasoma haya mambo wanaweza kujitundika wakidhani wanaepuka fedheha kumbe ndo wanajipeleka motoni kwenye fedheha kubwa zaidi.
 
Hii mbaya sana aisee ,tunakoelekea sio salama .Eh Mungu utulinde na hawa mafisi .RIP Mgimwa
 
Tetesi za muda mrefu kuwa walimuua na kumpa mwanae ubunge kama kifuta machozi
Mwanae kama alikuwa anampenda na kumuheshimu Mzazi wake akidhibitisha kuwa ni kweli Mzazi wake aliuwawa na wale walioshawishi awanie ubunge....inabidi ajiuzulu ubunge na aanze mkakati wa kuwashughulikia ama formally au informally.
 
Kichwa cha nazi!! Hawatakuweza
 
Mwanae kama alikuwa anampenda na kumuheshimu Mzazi wake akidhibitisha kuwa ni kweli Mzazi wake aliuwawa na wale walioshawishi awanie ubunge....inabidi ajiuzulu ubunge na aanze mkakati wa kuwashughulikia ama formally au informally.

weh! atakuwa na ubavu mbele ya lukuvi - ambaye amevuta 2.6 bil!!!
 
Huyo naona hatajwitajwi....anaogopwa kweli..!!!? Lakini huyo kijana akiwa na maamuzi thabiti tena kwa nafasi waliompa anaweza kuushangaza ulimwengu.
 
Amani ni tunda la haki, wao hawatendi haki wanahubiri amani, haiwezekani kabisa ipo siku watu watachoka tuombe Mungu yasije tokea yale ya rwanda.
 
Kwa maana nyingine ni kuwa Saada hajawekwa pale kwa bahati mbaya? Nilikuwa najiuliza sana kwani kikwete ampe wizara ya Fedha Saada.
 
Mwanae kama alikuwa anampenda na kumuheshimu Mzazi wake akidhibitisha kuwa ni kweli Mzazi wake aliuwawa na wale walioshawishi awanie ubunge....inabidi ajiuzulu ubunge na aanze mkakati wa kuwashughulikia ama formally au informally.

Hana ubavu wa kujiuzulu kirahisi hivo
 
Huu utunzi nimeukubali. Ila mtunzi si mwanafasihi hivyo hakuweza kuunganisha logics.
 
Tutakumbuka mkuu ila kidole na macho. Usimhusishe MUNGU kujustfy ukweli wako
 
lukuvi anahusika kabisa tusubiri yafumuke itakuja julikana na huyu mwanae anaogopa wasije na yeye wakamfanya kama baba yake
 
mwanae atakuwa hajui chochote ila tetesi nyingine ni kwamba Mbunge jimbo jirani na la Kalenga nae anahusika katika kifo cha marehemu Mgimwa kwa 100%
siku ile mgimwa amefariki tu, nilikutana na jamaa fulani kule kimara anatoka ubungo, ni mtu mzima akaniambia haya mambo yeye ni mtu wa iringa.kwa ufupi ni kwamba inaonekana mgimwa alijua alipoenda south africa na ndugu zake wa karibu wanalifahamu hilo na almanusura kipindi kile cha kifo kinuke.

lakini hata kama mimi ningekuwa dogo (mgimwa jr) ningenyamaza kimya kwasababu uwezo wa kupigana na ccm kwake ni mdogo na alishaambiwa na babake jinsi watu walivyo ma mafia kama angeanzisha uchunguzi na ccm ikajua kua anafuatilia, na yeye sasaivi tungeshamsahau kaburi lingshaota majani. amini usiamini. watu wana yao mengi moyoni na kuna siku yakiexplode dunia italia machozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…