Waliompora Malima Morogoro wanaswa, vitu vyapatikana.....

Gazeti la Mwananchi, kwishney wanachomtetea nini huyu Malima aliibiwa na machangudoa hili halina ubishi na haina haja ya kujitetea mbona hata watoto wadogo ukiwaambia hii habari wataelewa tu , kwani ni wangapi wanaibiwa kwa mtindo kama wake na ukifuatilia utakuja kusikia alikua na Mwanamke akawekewa madawa ya kulevya akaiibiwa
Hawa mawaziri wanatakiwa kwenda gym sasa, yaani jamaa kapiga bao moja tu kwa huo mlupo hoi kalala kama maiti. Naona home anapata game laini sasa akukutana mlupo wa nguvu ukampa game ya kufa mtu duu! MUNGU ANAYO NAMNA YAKE YA KUONYESHA UKWELI HATA UKIWA UNASALI NA KUPIGA ISHARA KWENYA SOKO ILI WATU WAKUONE NI MCHA MUNGU BASI KAMA SIO UKWELI MUNGU ATAKUUMBUA KWA NAMNA YAKE ILI TUKUONE UKWELI WAKO. HAYA KAKA TUMEKUJUA ENDELEA NA MAISHA YAKO YA UHALISIA WAKO NA USIWE MNAFIKI.
 
Huyo Mama Mdogo ndiye alisepa na vitu...kwa bahati kakamatwa...........ili ishu imalizike ...jamaa mmoja kachomekwa ili ionekane ndiye aliyeiba.........kwa hiyo uakikubali hamtajua kesi imeishia wapi na jamaa watapewa chao cha juu.
 
Magwanda wanapotafuta kila sababu za kuipaka matope Serikali ya Jakaya Mrisho Kikwete.

Hamna zaidi ya uongo, majungu na ufataani. Mmesha-stukiwa na Watanzania walio wengi. Ndio maana Igunga, Iringa, Uzini mkanyimwa kura na sasa Arumeru.

Makubwa! CHADEMA ndio walimwambia Malimu akachukue changu????
 
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: contentheading"]Mali za waziri Malima zakutwa kwa ‘ma-mdogo’ [/TD]
[TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"] Send to a friend[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: createdate"] Monday, 13 March 2012[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Fidelis Butahe
KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Adolphina Chialo amesema kuwa aliyemwibia Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Adam Malima vitu mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya Sh23.25 milioni katika hoteli ya Nashera mkoani Morogoro sio mwanamke.

Kamanda huyo alisema mtuhumiwa aliyekamatwa na polisi alipohojiwa alieleza kuwa vitu alivyoiba alivihifadhi nyumbani kwa mama yake mdogo na kwamba waziri Malima hakuwa na bunduki aina ya SMG, kama inavyodaiwa na baadhi ya watu.

Naibu Waziri Malima alikumbwa na mkasa huo uliozua maswali mengi saa 10 alfajiri ya kuamkia Machi 9, mwaka huu baada ya watu kueleza sababu tofauti za wizi huo.Baadhi ya watu walidai kuwa Waziri huyo alikuwa na mtu chumbani anayesaidikiwa alitoroka na vitu hivyo na wengine walidai kuwa aliibiwa na mtu aliyepitia dirishani baada ya kufungua dirisha.

Chialo aliliambia Mwananchi jana kuwa mmoja wa watuhuniwa wa tukio hilo alipobanwa alieleza wazi kuwa vitu alivyoiba alivihifadhi kwa mama yake mdogo.“Unajua haya mambo yanakuzwa lakini hayana ukweli wowote, yupo mtu mmoja ambaye baada ya kumbana alieleza kuwa vitu alivyoiba alivihifadhi kwa mama yake mdogo,” alisema Chialo.

Akizungumzia taarifa kuwa Waziri Malima alikuwa na SMG katika chumba chake alisema “Hakuwa na SMG alikuwa na bastola, SMG ni silaha ambayo hata mimi Kamanda wa polisi siwezi kutembea nayo”Alifafanua kuwa silaha hiyo ya kivita humilikiwa kwa kibali maalumu na kwamba si rahisi kwa mtu kuwa nayo kienyeji.

“Hata silaha ambazo alikuwa nazo Waziri Malima ni za kawaida na anazimiliki kihalali” alisema Chialo.

Akitoa ufafanuzi wa tukio hilo, Machi 9 mwaka huu Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani humo, Hamisi Seleman alisema ingawa uchunguzi unaendelea kufanyika, taarifa za awali zilieleza kuwa mtu asiyejulikana alivunja dirisha la chumba namba 125 alichopanga Naibu Waziri huyo kisha kuingia ndani na kuiba vitu hivyo vyenye thamani ya zaidi ya Sh23.25 milioni.

"Vitu alivyoibiwa ni pamoja na laptop tatu, aina ya Dell zenye thamani ya Sh5.6 milioni.

Vinasa sauti viwili vya digitali na headphone zake zote ambavyo thamani yake ni Sh 1 milioni na simu tatu aina ya Nokia C6 ya Sh500,000, Nokia E200 ya Sh250,000 na Blackberry zenye thamani ya Sh5.5 milioni," alisema kamanda huyo na kuongeza:

"Vitu vingine ni pete mbili za almasi zenye thamani ya Sh2.5 milioni, Dola 4,000 za Marekani ambazo ni sawa na Sh6.5milioni, Sh1.5 milioni, kadi mbili za benki, mabegi matatu ya nguo, baraghashia mbili zenye thamani ya Sh50,000 na nyaraka mbalimbali za Serikali.

"Kaimu kamanda huyo alisema kuwa polisi waliokwenda kufanya uchunguzi wa awali walibaini kuwa mtu aliyeiba vitu hivyo hakuwa amevaa viatu kutokana na nyayo za miguu yake zilizoonekana nje ya chumba alichokuwa naibu waziri huyo.Kaimu kamanda huyo ambaye pia ni Mkuu wa Upelelezi wa Mkoa wa Morogoro, alisema kuwa hata hivyo, mwizi aliyeiba vitu hivyo hakuiba bastola na bunduki aina ya SMG alizokuwa nazo Naibu Waziri huyo ambazo zilikuwa sehemu iliyowazi.

Katika hatua nyingine, polisi mkoani Morogoro, wanawashikilia watu watano wanaotuhumiwa kumwibia Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Malima katika Hoteli ya Nashera wiki iliyopita huku asilimia 90 ya vitu vilivyoibiwa vikipatikana kutoka kwa watuhumiwa hao.

Kamanda Chialo alisema waliokamatwa kuwa mmoja ni mkazi wa Chamwino kwa Mgulasi na wengine ni wakazi wa Mafiga Manispaa ya Morogoro ambao kwa pamoja wanadaiwa kushiriki katika tukio hilo la wizi.

MY TAKE; KUNA KILA DALILI MWIZI ALIYEIBA SIO MZOEFU, LAZIMA ATAKUWA NI MWANAMKE NA NDIO MAANA AKAFICHA KWA MAMA MDOGO[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Siku alipoimbiwa niliota ndoto inaniambia kuwa Changudoa mmoja maarufu atamlewesha na kumwimbia vitu vyote mzini wake" Hadithi yangu inaishia hapo
 
Baada ya sakata la naibu waziri Malima kuonekana kuwa limeshtukiwa na walio wengi waliokataa maneno rahisi ya kutunga serikali kupitia jeshi la polisi inaendelea kuwaaminisha uma wa watanzania katika kujitahidi kuficha ukweli.Serikali imeona iingie gharama mara mbili ya kununua vitu kama vilivyoibhwa na kuwalipa watu ili wauvae uhusika wa utuhumiwa katika muendelezo wa kufurukuta kuficha siri ya mheshimiwa!Huku hayo yakiemdelea vyombo vya usalama wa waheshimiwa vinaendelea kimyakimya kumsaka mwizi halali ili kumziba mdomo na ikiwezekana kumtanguliza ili kujihakikishia kuwa siri hii haivuji hata siku zijazo.Vyombo vya usalama wa waheshimiwa vinaendelea kufanya kazi yao ya kuwalinda waheshimiwa vizuri kwa hali yoyote.
 
Kwa sababu wazushi walisema kaibiwa na mwanamke, huyo mwanamke yuko wapi? wache
ni majungu.

Ndio hayo, ya fulani hatumtaki lakini kwa tuhuma zipi? kimyaa!

ukiwa ccm sio ukubali kila kitu...zakuambiwa changanya na zako.lol!!
 
Hawa mawaziri wanatakiwa kwenda gym sasa, yaani jamaa kapiga bao moja tu kwa huo mlupo hoi kalala kama maiti. Naona home anapata game laini sasa akukutana mlupo wa nguvu ukampa game ya kufa mtu duu! MUNGU ANAYO NAMNA YAKE YA KUONYESHA UKWELI HATA UKIWA UNASALI NA KUPIGA ISHARA KWENYA SOKO ILI WATU WAKUONE NI MCHA MUNGU BASI KAMA SIO UKWELI MUNGU ATAKUUMBUA KWA NAMNA YAKE ILI TUKUONE UKWELI WAKO. HAYA KAKA TUMEKUJUA ENDELEA NA MAISHA YAKO YA UHALISIA WAKO NA USIWE MNAFIKI.

Kitufe cha Like sikioni, nilitaka nikupe haki yako mkuu,:wink2:
 
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: contentheading, width: 100%"]Mali za waziri Malima zakutwa kwa ‘ma-mdogo’ [/TD]
[TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"] Send to a friend[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: createdate"] Monday, 13 March 2012 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Fidelis Butahe
KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Adolphina Chialo amesema kuwa aliyemwibia Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Adam Malima vitu mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya Sh23.25 milioni katika hoteli ya Nashera mkoani Morogoro sio mwanamke.

Kamanda huyo alisema mtuhumiwa aliyekamatwa na polisi alipohojiwa alieleza kuwa vitu alivyoiba alivihifadhi nyumbani kwa mama yake mdogo na kwamba waziri Malima hakuwa na bunduki aina ya SMG, kama inavyodaiwa na baadhi ya watu.

Naibu Waziri Malima alikumbwa na mkasa huo uliozua maswali mengi saa 10 alfajiri ya kuamkia Machi 9, mwaka huu baada ya watu kueleza sababu tofauti za wizi huo.Baadhi ya watu walidai kuwa Waziri huyo alikuwa na mtu chumbani anayesaidikiwa alitoroka na vitu hivyo na wengine walidai kuwa aliibiwa na mtu aliyepitia dirishani baada ya kufungua dirisha.

Chialo aliliambia Mwananchi jana kuwa mmoja wa watuhuniwa wa tukio hilo alipobanwa alieleza wazi kuwa vitu alivyoiba alivihifadhi kwa mama yake mdogo.“Unajua haya mambo yanakuzwa lakini hayana ukweli wowote, yupo mtu mmoja ambaye baada ya kumbana alieleza kuwa vitu alivyoiba alivihifadhi kwa mama yake mdogo,” alisema Chialo.

Akizungumzia taarifa kuwa Waziri Malima alikuwa na SMG katika chumba chake alisema “Hakuwa na SMG alikuwa na bastola, SMG ni silaha ambayo hata mimi Kamanda wa polisi siwezi kutembea nayo”Alifafanua kuwa silaha hiyo ya kivita humilikiwa kwa kibali maalumu na kwamba si rahisi kwa mtu kuwa nayo kienyeji.

“Hata silaha ambazo alikuwa nazo Waziri Malima ni za kawaida na anazimiliki kihalali” alisema Chialo.

Akitoa ufafanuzi wa tukio hilo, Machi 9 mwaka huu Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani humo, Hamisi Seleman alisema ingawa uchunguzi unaendelea kufanyika, taarifa za awali zilieleza kuwa mtu asiyejulikana alivunja dirisha la chumba namba 125 alichopanga Naibu Waziri huyo kisha kuingia ndani na kuiba vitu hivyo vyenye thamani ya zaidi ya Sh23.25 milioni.

"Vitu alivyoibiwa ni pamoja na laptop tatu, aina ya Dell zenye thamani ya Sh5.6 milioni.

Vinasa sauti viwili vya digitali na headphone zake zote ambavyo thamani yake ni Sh 1 milioni na simu tatu aina ya Nokia C6 ya Sh500,000, Nokia E200 ya Sh250,000 na Blackberry zenye thamani ya Sh5.5 milioni," alisema kamanda huyo na kuongeza:

"Vitu vingine ni pete mbili za almasi zenye thamani ya Sh2.5 milioni, Dola 4,000 za Marekani ambazo ni sawa na Sh6.5milioni, Sh1.5 milioni, kadi mbili za benki, mabegi matatu ya nguo, baraghashia mbili zenye thamani ya Sh50,000 na nyaraka mbalimbali za Serikali.

"Kaimu kamanda huyo alisema kuwa polisi waliokwenda kufanya uchunguzi wa awali walibaini kuwa mtu aliyeiba vitu hivyo hakuwa amevaa viatu kutokana na nyayo za miguu yake zilizoonekana nje ya chumba alichokuwa naibu waziri huyo.Kaimu kamanda huyo ambaye pia ni Mkuu wa Upelelezi wa Mkoa wa Morogoro, alisema kuwa hata hivyo, mwizi aliyeiba vitu hivyo hakuiba bastola na bunduki aina ya SMG alizokuwa nazo Naibu Waziri huyo ambazo zilikuwa sehemu iliyowazi.

Katika hatua nyingine, polisi mkoani Morogoro, wanawashikilia watu watano wanaotuhumiwa kumwibia Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Malima katika Hoteli ya Nashera wiki iliyopita huku asilimia 90 ya vitu vilivyoibiwa vikipatikana kutoka kwa watuhumiwa hao.

Kamanda Chialo alisema waliokamatwa kuwa mmoja ni mkazi wa Chamwino kwa Mgulasi na wengine ni wakazi wa Mafiga Manispaa ya Morogoro ambao kwa pamoja wanadaiwa kushiriki katika tukio hilo la wizi.

MY TAKE; KUNA KILA DALILI MWIZI ALIYEIBA SIO MZOEFU, LAZIMA ATAKUWA NI MWANAMKE NA NDIO MAANA AKAFICHA KWA MAMA MDOGO[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Sijawahi kuona taarifa inayojigonga kama hii. Mpelelezi anayekanusha Malima hakuwa na SMG, wakati ananukuliwa akisema kuwa bastola na SMG zilikuwa mahali wazi! Je ni taarifa ya kupika yenye lengo la kuua soo?
 
Nina maswali matatu tu,
1. Huyu naibu waziri alikuwa likizo? Mbona alibeba nguo nyingi sana kama ni safari ya siku chache tu!
2. Alikuwa na safari ya uwindaji ama alienda vitani? Inawezekana vipi usafiri na silaha mbili za moto (bastola na bunduki) kwa kujilinda tu?
3. Laptop tatu!!! Ndio utandawazi?
By the way huo ndio ukwasi wa viongozi wetu, just safarini una 23 milion wealth, nyumbani je?
 
Bongo movie, director Malima, Sterling Malima, producer Adam, sound effects RPC Moro, choreography RPC Moro, costume Malima, camera crew Adam

Pamoja mkuu, nimeipenda hiyo.
 
Baada ya sakata la naibu waziri Malima kuonekana kuwa limeshtukiwa na walio wengi waliokataa maneno rahisi ya kutunga serikali kupitia jeshi la polisi inaendelea kuwaaminisha uma wa watanzania katika kujitahidi kuficha ukweli.Serikali imeona iingie gharama mara mbili ya kununua vitu kama vilivyoibhwa na kuwalipa watu ili wauvae uhusika wa utuhumiwa katika muendelezo wa kufurukuta kuficha siri ya mheshimiwa!Huku hayo yakiemdelea vyombo vya usalama wa waheshimiwa vinaendelea kimyakimya kumsaka mwizi halali ili kumziba mdomo na ikiwezekana kumtanguliza ili kujihakikishia kuwa siri hii haivuji hata siku zijazo.Vyombo vya usalama wa waheshimiwa vinaendelea kufanya kazi yao ya kuwalinda waheshimiwa vizuri kwa hali yoyote.

Hata mimi naipata hiyo hisia kutokana na taarifa ambayo haikwenda shule inayotolewa! Aliyemwibia Hakuwa mwanamke, so Malima Basha? Eneo la tukio lilioneshwa laivu hatukuona dirisha lililovunjwa, ila kasehemu kadogo kalikobenjuliwa "kimtindo" kuwasadikisha watu kuwa mtu alimfanyizia! Hamuwezi kufunika jua kwa ungo! Janja ya nyani................!
 
Kwanza kwa kuiweka sawa hiyo taarifa ya hao wapishi ni kuwa suala la Malima kuwa au kumiliki na SMG si madai ya watu, bali hiyo ni kauli halisi ya Malima mwenyewe, tena mbele ya media.
Suala huyo jamaa kukamatwa na hivyo vitu halina ukweli, sababu huyo jamaa ni kati vijana wa jeshi la Polsi wasiotambulika na jamii, msikiapo taarifa za kiintelijensia mjue source ndiyo hao, wengi hujichanganya hadi kwenye makundi ya kihalifu na ukisikia Polisi wamekamata jambazi bila kuwaua mjue ndiyo hao jamaa, yaani wenzao.
Pia itokeapo issue kama ya Malima hutumika katika kuweka mambo sawa.
 
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: contentheading"]Mali za waziri Malima zakutwa kwa ‘ma-mdogo’ [/TD]
[TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"] Send to a friend[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: createdate"] Monday, 13 March 2012[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Fidelis Butahe
KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Adolphina Chialo amesema kuwa aliyemwibia Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Adam Malima vitu mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya Sh23.25 milioni katika hoteli ya Nashera mkoani Morogoro sio mwanamke.

Kamanda huyo alisema mtuhumiwa aliyekamatwa na polisi alipohojiwa alieleza kuwa vitu alivyoiba alivihifadhi nyumbani kwa mama yake mdogo na kwamba waziri Malima hakuwa na bunduki aina ya SMG, kama inavyodaiwa na baadhi ya watu.

Naibu Waziri Malima alikumbwa na mkasa huo uliozua maswali mengi saa 10 alfajiri ya kuamkia Machi 9, mwaka huu baada ya watu kueleza sababu tofauti za wizi huo.Baadhi ya watu walidai kuwa Waziri huyo alikuwa na mtu chumbani anayesaidikiwa alitoroka na vitu hivyo na wengine walidai kuwa aliibiwa na mtu aliyepitia dirishani baada ya kufungua dirisha.

Chialo aliliambia Mwananchi jana kuwa mmoja wa watuhuniwa wa tukio hilo alipobanwa alieleza wazi kuwa vitu alivyoiba alivihifadhi kwa mama yake mdogo.“Unajua haya mambo yanakuzwa lakini hayana ukweli wowote, yupo mtu mmoja ambaye baada ya kumbana alieleza kuwa vitu alivyoiba alivihifadhi kwa mama yake mdogo,” alisema Chialo.

Akizungumzia taarifa kuwa Waziri Malima alikuwa na SMG katika chumba chake alisema “Hakuwa na SMG alikuwa na bastola, SMG ni silaha ambayo hata mimi Kamanda wa polisi siwezi kutembea nayo”Alifafanua kuwa silaha hiyo ya kivita humilikiwa kwa kibali maalumu na kwamba si rahisi kwa mtu kuwa nayo kienyeji.

“Hata silaha ambazo alikuwa nazo Waziri Malima ni za kawaida na anazimiliki kihalali” alisema Chialo.

Akitoa ufafanuzi wa tukio hilo, Machi 9 mwaka huu Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani humo, Hamisi Seleman alisema ingawa uchunguzi unaendelea kufanyika, taarifa za awali zilieleza kuwa mtu asiyejulikana alivunja dirisha la chumba namba 125 alichopanga Naibu Waziri huyo kisha kuingia ndani na kuiba vitu hivyo vyenye thamani ya zaidi ya Sh23.25 milioni.

"Vitu alivyoibiwa ni pamoja na laptop tatu, aina ya Dell zenye thamani ya Sh5.6 milioni.

Vinasa sauti viwili vya digitali na headphone zake zote ambavyo thamani yake ni Sh 1 milioni na simu tatu aina ya Nokia C6 ya Sh500,000, Nokia E200 ya Sh250,000 na Blackberry zenye thamani ya Sh5.5 milioni," alisema kamanda huyo na kuongeza:

"Vitu vingine ni pete mbili za almasi zenye thamani ya Sh2.5 milioni, Dola 4,000 za Marekani ambazo ni sawa na Sh6.5milioni, Sh1.5 milioni, kadi mbili za benki, mabegi matatu ya nguo, baraghashia mbili zenye thamani ya Sh50,000 na nyaraka mbalimbali za Serikali.

"Kaimu kamanda huyo alisema kuwa polisi waliokwenda kufanya uchunguzi wa awali walibaini kuwa mtu aliyeiba vitu hivyo hakuwa amevaa viatu kutokana na nyayo za miguu yake zilizoonekana nje ya chumba alichokuwa naibu waziri huyo.Kaimu kamanda huyo ambaye pia ni Mkuu wa Upelelezi wa Mkoa wa Morogoro, alisema kuwa hata hivyo, mwizi aliyeiba vitu hivyo hakuiba bastola na bunduki aina ya SMG alizokuwa nazo Naibu Waziri huyo ambazo zilikuwa sehemu iliyowazi.

Katika hatua nyingine, polisi mkoani Morogoro, wanawashikilia watu watano wanaotuhumiwa kumwibia Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Malima katika Hoteli ya Nashera wiki iliyopita huku asilimia 90 ya vitu vilivyoibiwa vikipatikana kutoka kwa watuhumiwa hao.

Kamanda Chialo alisema waliokamatwa kuwa mmoja ni mkazi wa Chamwino kwa Mgulasi na wengine ni wakazi wa Mafiga Manispaa ya Morogoro ambao kwa pamoja wanadaiwa kushiriki katika tukio hilo la wizi.

MY TAKE; KUNA KILA DALILI MWIZI ALIYEIBA SIO MZOEFU, LAZIMA ATAKUWA NI MWANAMKE NA NDIO MAANA AKAFICHA KWA MAMA MDOGO
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

waungwana msaada kwenye red jee? nimaneno ya mwandishi au ya kamanda nakama ni yakamanda inaonyesha uongo wakijinga kamanda kachemka kumsafisha mweshimiwa
 
Back
Top Bottom