Waliompora Malima Morogoro wanaswa, vitu vyapatikana.....

Waliompora Malima Morogoro wanaswa, vitu vyapatikana.....

Mbona hawakutaja na perfume ya $2000 anayotumia kuwa nazo zimeibiwa!!!,ni kweli aliingia na demu usiku na walinzi walimuona akiingia naye na gari lake la serikali na hawakumuona akitoka hadi waliposikia waziri kaibiwa wanashangaa dirisha kuvunjwa wakati doria yao kuzungukia maeneo ya hoteli ni saa 24 tena kukiwa na kiongozi wa serikali inazidi mara mbili.Kampuni ya ulinzi inayolinda inamilikiwa na IGP mstaafu na wameamriwa na hoteli kulipa hasara ya wizi huo na wao wamegoma wanataka ukweli uwekwe hadharani!!!
 
haingii kw akili kabisa!
hata guest ya buku 5 per nite haiwez kuwa na ulinzi mbovu kiac hicho!
 
huyu aliibiwa na jimamam akiwa amelewa baada ya kukolezwa na majimama
 
Hivi kulikuwa kuna haja ya kumkamata mwizi ili umuulize na aseme kuwa bunduki haikuwa SMG? Wakati tunajuwa bunduki haikuibiwa, kulikuwa kuna haja ya kumkamata ndiyo tujue kuwa ni SMG au RPG?

Umeulza vema mkuu!
 
Waache kutupotosha. Wamepika story za kuwahadaa wananchi.
Amesafishwa na Malaya. na mnavyojua malaya hana shida na silaha.
hata mwizi wa kuku haachi silaha. yaani mabegi yabebwe asiweke silaha kwenye begi!
Polisi wanaboa sana

This is also reflected even in their level of understanding.

Since colonial times, police duties have been reserved for those who have failed in school.
Although the situation has now changed, but probably not fast enough.

Tunavuna tulichopanda.
 
"Vitu vingine ni pete mbili za almasi zenye thamani ya Sh2.5 milioni, Dola 4,000 za Marekani ambazo ni sawa na Sh6.5milioni, Sh1.5 milioni, kadi mbili za benki, mabegi matatu ya nguo, baraghashia mbili zenye thamani ya Sh50,000 na nyaraka mbalimbali za Serikali.

mimi hapa ndo pananiacha hoi hapa!!!
Eti mabegi matatu ya nguo ambayo dhamani yake haitajwi, lakini baraghashia dhamani yake inatajwa!!!

Hawa wakwere wanapenda sasa kwenda kufanyia ufuska wao Morogoro..........mnamkumbuka marehemu Dito?
 
Mimi kama mtanzania ninayeweza kufikiri, huu ni uongo mbaya sana. Maelezo juu ya waliyohusika ni dhaifu na bila kuficia huu ushahidi zaidi namna polisi wanavyotumika kuhadaa wananchi.
 
Mimi kama mtanzania ninayeweza kufikiri, huu ni uongo mbaya sana. Maelezo juu ya waliyohusika ni dhaifu na bila kuficha huu ni ushahidi zaidi namna polisi wanavyotumika kuhadaa wananchi.
 
Aliyeiba c mwizi ni changu wa kaumba tu,,, sasa hii kurudisha mama mdogo tena!!!!!!! sio tu inashangaza ila inaweka mambo wazi kama ni mwizi ya nn aanze kujisafisha huyo mwizi kamjulia wapi huyo mama mdogo wadau tujiulize au ni changu cd ya mda mrefu hata inawafahamu hao ndugu zake!! wapelezi hapa kazi kwenu wachieni vijana wa watu labda kama mnawalipa wawasafishe.
 
Kwani anataka kusema hakuna wezi wanawake? Akaende magerezani afanye utafiti - rapid asessment kisha aje aseme mwizi siyo mwanamke!Kama wamemkamata mwizi wa kiume kwanini hawajamweka kwenye vyombo vya habari ili kuzima minong'ono kama ndio lengo la kutoa taarifa mara kwa mara kwenye kesi hii?
Huenda ingesaidia zaidi kama kila mhusika angekaa kimya maana kila wanapokuja na taarifa mpya wanachochea minong'ono zaidi.

They are not that clever!!!
 
habari moja mwanzo hakuna SMG mwisho inasema kuna SMG! mibongo!
 
I hope mama mdogo keshatiwa kolokoloni kwa kukutwa na mali ya wizi! Polisi msisahau kutujuza hili maana hii ni straight forward case! Huwaga haina madoido mengi ya upelelezi!Apply doctrine of RECENT POSSESSION fasta!


Nategemea leo atapandishwa karandinga.
 
Mi nina hofu kwa aliyemwibia kwa 85% ni jike halafu naye akapeleka anakojua na hawa makomredi nao wakampitia tena!

Na bila shaka wakapeleka kwa Mama Mdogo!
Hao ndio mawaziri wa jk!
Na arudie tena! Shenzi taip!!

Kumpata mwizi sio kazi ngumu. Mheshimiwa ( na dereva wake) si wanajua alimwokota wapi huyo changu? Na inawezekana waziri alipasiwa na wapambe, maana kuingia front mwenyewe kusaka ni noma. Sasa wakinuri pale walipomwokota, na wenzake wakibanwa wataje aliyeondoka na VX siku ile si rahisi kusema? Kwa maana, kwa mkwanja ule lazima atakuwa likizo kwanza, ataipumzisha.....
 
Mbona hawakutaja na perfume ya $2000 anayotumia kuwa nazo zimeibiwa!!!,ni kweli aliingia na demu usiku na walinzi walimuona akiingia naye na gari lake la serikali na hawakumuona akitoka hadi waliposikia waziri kaibiwa wanashangaa dirisha kuvunjwa wakati doria yao kuzungukia maeneo ya hoteli ni saa 24 tena kukiwa na kiongozi wa serikali inazidi mara mbili.Kampuni ya ulinzi inayolinda inamilikiwa na IGP mstaafu na wameamriwa na hoteli kulipa hasara ya wizi huo na wao wamegoma wanataka ukweli uwekwe hadharani!!!

The way the cookie crumbles at Nashera Hotel, Morogoro (zamani, shamba la Magereza la kuzalishia vifaranga vya samaki).

Stay tuned.....
 
Hii bongo movie imekosa continuity,wakajipange upya,malima kakubali anamiliki smg,rpc mwanzo kakanusha,mwisho rpc kakubali,malima mwanzoni alisema washapata begi lilioibiwa lkn haijapewa promo imepita siku 3 rpc anakuja kuipa promo,hii ni story iliyopikwa na kilaza bora wangemtafuta kanumba na ray awasaidie kutunga story,Je mnakumbuka yale majambazi yaliyokamatwa kwa kifo cha prof mwakyusa? Mbona kimya mpaka leo,Hao waliokamatwa kama ingekua kweli navyowajua ligeshi letu la polisi kwa sifa wangeandaa kipindi maalumu cha kuelezea sakata la kuwakamata nucta hadi nucta mpaka kwa huyo ma-mdogo(changudoa)
 
Back
Top Bottom