Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 40,000
Mkuu Mkjj heshima mbele,
Nimefungua haraka haraka hii thread nikajua list ya waliomo katika ushirika usio mtakatifu aliousema RA imewekwa hadharani kama ilivyokuwa kwa list of shame. duuuh mwenye idea Mh.RA alikuwa anamaanisha akina nani kwa majina tafadhali?
Kama alichosema kuhusu Richmond?au mwanakijiji ni jambo lipi..?nadhani yeye alikuwa ana kitu anamaanisha... lakini hakuthubutu kukisema. Kuna mambo mengine aliyasema ambayo nashangaa kwanin hayakuripotiwa na vyombo vya habari..
kama ana ubavu aseme basi angalau tujue na yeye ni mwanamume kati ya mafisadi.
Merely ni kwamba hachangamani na ushirika usio mtakatifuGembe.. this bring me to the question.. inakuwaje mtoa taarifa achague chombo gani cha habari kije kumsikiliza?
Gembe.. this bring me to the question.. inakuwaje mtoa taarifa achague chombo gani cha habari kije kumsikiliza?
...RO anashutumiwa ndio engineer behind Richmond saga lakini publicly amekataa na hahusiki na ametoa nafasi kwa yeyote mwenye ushahidi amfungulie mashtaka au aonyeshe lakini mpaka sasa yamebaki maneno ya chini chini tuu RO ni fisadi fisadi,na hata Mwakyembe report hatukuona jina lake,sasa naanza kushtukia credibility ya wanaomshutumu huyu jamaa maana ni kama story za mitaani tuu...isije ikawa ni kama mambo ya wanamitandao na njaa za Mtikila kama walivyomfanyia Sumaye!
Koba hii reasoning ina matatizo.. wenye jukumu la kufanya uchunguzi na kutafuta ushahidi utakaosimama mahakamani siyo wanaotoa shutma. Mtu akivamiwa na majambazi na yakakamatwa au akajua ni kina nani waliomvamia akatoa taarifa Polisi, Polisi hawamuambii "katuletee ushahidi"! Chombo ambacho kina uwezo na madaraka ya kuchunguza uhalifu siyo raia wanaotoa shutma bali ni kile chenye madaraka ya kuchunguza hivyo.
Mfano mzuri ni suala hilo la Bungeni, kwanini Polisi hawakuwaambia waandishi au waliosema habari za unga unga kutoa ushahidi na badala yake ni wao ndio waliofanya utafiti na kutoa taarifa?
Mimi naweza kukuambia kuwa mwaka x,y Rostam alipokea kiasi cha fedha from x,y kwa ajili ya z fedha hizo ni za kifisadi auz ilikuwa na lengo hili au lile. Sasa mwenye chombo cha kuangalia anaangalia uzito wa tuhuma /shutma na kuona kama zinastahili kuchunguzwa. Akiona ndio basi anaanzisha uchunguzi.
Sasa huyo mwenye uwezo na nyenzo za kuchunguza akija na kuniomba ushahidi mimi nimpe ili kiwe nini? Nimemdokeza ni yeye jukumu lake kufuatilia. Vinginevyo watupe sisi sote nguvu ya kisheria ya kufanya uchunguzi, kukamata na kuwafikisha mahakanai. Then tutakusanya ushahidi wetu sisi wenyewe (sisi - wale ambao wanataka mafisadi na wezi wa mali zetu wachunguzwe)

...you have a point,lakini hii Richmond saga tunajua imeshamwangusha one of the most powerful guy in TZ (Lowassa) na majina mengi ya vigogo yametajwa wazi wazi sio kimajungu ni kwenye report za serikali kuanzia Karamagi mpaka Msabaha bangusilo na wao kuishia kujiuzulu,na official report ya Mwakyembe haikuwahi kumtaja RO kama amehusika au laa...napata shida kuamini huyu RO ndio architect wa hili saga akipeta huku wakuu wa nchi kina Lowassa wakianguka bila huruma.