Waliomo katika "ushirika usio mtakatifu"...

Mwanakijiji bwana mafumbo na kuzungukazunguka hapa naona unatuzingua tu. Ukija na dataz mwaga hadharani hata kama una shaka wenye hoja watakuja kufafanua.

"Hapa JF ni kumkoma nyani giladi" ... FMES
 
.....seems kila mtu kuanzia mtaani mpaka ikulu wanajua mwizi fisadi ni nani lakini anayetakiwa kuchunguza na kushtaki hafanyi kazi yake...hatuna serikali pale tuna wababishaji tuu,dawa ni kuwachomoa come 2010 tusipofanya hivyo hatuna haki ya kulalamika maana majority watakuwa wanakubaliana na wanachofanya!

85% ya watanzania hawajui nini kinaendelea katika nchi yao hasa kuhusu ufisadi kwani wapo sehemu ambapo hakuna internet, TV na magazeti hayafiki na yakifika wanasoma top pages kwa wauzaji kwani uwezo wa kutoa shs 300 kununua hawana. Hawa ndio wanaowapa kiburi CCM kuwa hata mpige kelele wao watashinda tu.
 
na ndio mi nasema kila siku haya tunayoyaanika hapa JF je wapiga kura wa mkuranga ambao CCM wakiwapelekea mdundiko wao wanawapa kura wanakiona tunachokisema?
manake wengine ndo wale majuzi waliuliza hivi 40 ya hayati sokoine bado?
 
Back
Top Bottom