Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,392
- 39,493
huu ni mwendelezo tu wa kampeni chafu unaoendeshwa na watu wachache ambao ni maarufu na ni wazito katika jamii yetu waliojiunga pamoja katika ushirika usio mtakatifu. Ambao kwa kutaka kutimiza malengo yao wameamua wanaoyajua wao wenyewe wameamua kuchafua majina, heshima, na hadhi za baadhi yetu.
Katika kikundi hicho wapo ambao hawaridhiki na nafasi za uongozi walizonazo, ambao wamejenga chuki kwa kudhani na kujiaminisha kuwa labda mimi nilihusika kuwazuilia kujichukulia fursa za ufahali na haki inayostahiki vyeo vyao...wapo ambao uwezo wa maarifa yao umewapeleka kutomudu ushindani wa kibiashara na badala yake wamejianimisha labda baadhi yetu ndio sababu ya kutofanikiwa kwao, na wapo ambao wamejiingiza katika kikundi hicho kwa sababu ya wivu. Mawazo yote hayo si sahihi, na yanaelekea kunipa uwezo ambao sina." - Rostam Aziz