Waliomdharau Zitto sasa awafunga midomo

CDM walikosea mahesabu wakati mbaya sana, hawakuliangalia hili, hawakuangalia uzito wa Zitto katika kipindi kile na kwamba uchaguzi unafata mbeleni... sasa athari zake ndo hizi na wataendelea kumlaumu ilhali lawama.wanapaswa wajilaumu CDM wenyewe...

Tunapaswa kupiga hesabu za hapa na mbeleni... kabisa hakuwa kijana wa kudharauliwa bali ni wakufkiana muafaka kisiasa... ilipaswa hekima itawale zaidi...
 
Aunganishe nguvu na nani wakati Chadema ilikataa act kuingia kwenye ukawa
 
Cdm mnamwona mbowe kama mungu wenu, ndo maana kawapotezea jembe na nyienakubali kuwa alikuwa msaliti, Hongera Zitto

Kwani kafanya kitu gani cha ajabu ambacho hakijafanywa tayari sehemu nyingine?naona this is getting blown out of proportion.
 
Kafulila machali mkosamali dah imeniuma sana ila yote hiyo ni wanasiasa kukosa umoja
 
Unalalamika nini wakati umekubali kutumika vibaya na Mbowe?
 
Jamani chama cha Act hata mwaka bado hakina matokeo haya ni mwanzo mzuri.
 
Hujui hata kanuni za Viti Maalum.
TLP Mrema, J. Cheyo wapo mjengoni toka kitambo hawakuwa na Viti Maalum.

Umri si tija, ya weza kuwa upepo. Hata hivyo ushindi wao ni wa Kikabila-woooote Kigoma tu (Madiwani 12 , Mbunge1). Hapa kuna shida, muda wowote upepo hubadilika.

Ni bora hata Anna angewania Ubunge Jimbo ya Kigoma Kaskazini kama Zitto ni Mpinzani wa kweli.
 
I think unashabikia zaidi badala ya kuelezea facts, nilidhani ungeelezea viti maalum vinapatikanaje badala ya kuleta hoja za ajabu. Kura anazopata Anna Mghwira huko Pemba yeye ni Mtumbatu? Acha fikira za hovyo, ACT wamejitahidi sana
 
Sema unataka usaidiwe hujui.
 
Jamani chama cha Act hata mwaka bado hakina matokeo haya ni mwanzo mzuri.

Ubinafsi wa Zitto umejidhihirisha. Yaani kwake bora CCM ishinde kuliko wabunge wenzake wa upinzani. Huyu ni mpinzani? Ameshindwa kukipigania chama chake walau apate wabunge wawilihuko kwao kigoma? Zaidi sana akashriki katika kuwahujumu wenzake ili washindwe?

Yeye anajifikiria binafsi zaidi kuliko chama. Walimshauri km anataka chama chake kieneee asipgombanie ubunge bali afanye kazi ya kukieneza katika uchaguzi huu! Ubinafsi mtupu. Eti nuru ya Chama.
 
Nadhani namba za viatu anazopata imemdhihiriashia kuwa watanzania wamempuuza!
 
Jamani chama cha Act hata mwaka bado hakina matokeo haya ni mwanzo mzuri.

Ubinafsi wa Zitto umejidhihirisha. Yaani kwake bora CCM ishinde kuliko wabunge wenzake wa upinzani. Huyu ni mpinzani? Ameshindwa kukipigania chama chake walau apate wabunge wawilihuko kwao kigoma? Zaidi sana akashriki katika kuwahujumu wenzake ili washindwe?

Yeye anajifikiria binafsi zaidi kuliko chama. Walimshauri km anataka chama chake kieneee asipgombanie ubunge bali afanye kazi ya kukieneza katika uchaguzi huu! Ubinafsi mtupu. Eti nuru ya Chama.
Nadhani namba za viatu anazopata imemdhihiriashia kuwa watanzania wamempuuza n ACTyake. Wanaosema AT ni chama kichanga sawalakinikiongozi wake sio mchanga ni mtu maarufu sana. So far sijasikia jimbo ambalo amepata kura elfu moja. mara 4, 10 100, 50 sihji 0.03% ya kura zote sijui 0.1 % ya kura zote. Hii namba haziandani na umaarufu wa Zitto kabisa!
 
Jembe letu hili litakuwepo tena mjengoni panapo majaliwa huku wabaya wake wengi wakiwa hawajui hatima yao.

Wabunge weng wa Chadema hawajui hatima yao huku wafuata upepo wa Mbowe kina Wenje, Nyerere, Haines Kiwia, n.k wakiwa wameshapigwa chini.

Zitto ni machine nyingine......tunayemfahamu hatuna shaka nae...
 
Zitto ni machine nyingine......tunayemfahamu hatuna shaka nae...

Nasikia ameongoza timu ya ushindi na kunyakua majimbo yote Kigoma.ACT nasikia ni ngangari kweli huko
 
Jembe letu hili litakuwepo tena mjengoni panapo majaliwa huku wabaya wake wengi wakiwa hawajui hatima yao.

Wabunge weng wa Chadema hawajui hatima yao huku wafuata upepo wa Mbowe kina Wenje, Nyerere, Haines Kiwia, n.k wakiwa wameshapigwa chini.
Kama nia yako ni kumpongeza Zitto, mpongeze kwa nguvu zako zote. Wabunge wa chadema; wenje, highness kiwia wanahusika nini na mbunge wa act aliyeshinda huko kigoma?
 
chuki hazijengi jaman ila zitto ni mwanasiasa hodari anahitajika bado
 
Acheni unafiki nyinyi ukiwa, mbona nyinyi mmeshindwa kuonesha ushirikiano Segerea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…