Waliokuwa 10 bora Tanzania (PCB) nane kati yao wamenyimwa mkopo

Ufadhiri##ufadhili,muhim##muhimu.Unaharibu maantiki ya madai yako kwa sababu ya lugha yenye makengeza.
 
Kwa hiyo umeona kwenye post uliyoanzisha mwanzo umeshindwa, umeamua fungua nyingine siyo
Kaingia top ten kwa Tanzania nzima na bado kakosa mkopo - JamiiForums

Anzisha hata 100, jibu ni lilelile. Mikopo haipo kwa ajili ya walio faulu tu. Ipo kwa ajili ya walio faulu na hawana uwezo wa kumudu gharama za chuo. Acha ujinga wako.

Unatumia nguvu nyiingi kutaka kuaminisha watu kuwa ni uonevu umefanyika.

Tafuta kiki nyingine hii imekushinda.
 
Sometime inachekesha mnaweza sema kwa sababu wamesoma shule za gharama
Ooh wazazi wao wana pesa wawalilie na chuo
But turud katika ukweli “ hawa ni watu wenye uwezo mkubwa na vipaji vikubwa sana ingetakiwa serikali iinvest kwao, iwatafutie vyuo bora na kuwasomesha ili kutoa madaktari bora kabisa wa kuja kulisaidia taifa”
Inashangaza kuona nane kati yao wamekosa mkopo na wawili ndo wamepata ufadhiri kutoka taasisi binafsi

Sawa wamesoma shule za gharama but hawa ni watu muhim sana wenye uwezo mkubwa wa kulisaidia Taifa mbeleni
Mleta uzi we humans lotus kichwan yaan wamesomeshwa kwa Ada millions kwa muda WA zaidi ya miaka kumi na kitu alfu Leo wapewe mkopo WA Ada milion 2/3 acheni ujinga Ada no kwa watoto wa kapuku tuone km wataachwa wasiende vyuo muwe na huruma na wasiojiweza
 
Ni full vinyongo,kukomoana na roho mbaya! Kodi tulipe wote ila waifaidi wachache kwa matakwa ya watu fulani tu....

Halafu tunataka kwenda tanzania ya viwanda na uchumi wa kati..Kama hatuwezi kuthamini watu kama hawa sijui tunataka nini.. But CCM hazina yao ni mabumbumbu na vilaza wala tusishangae. Mwalimu Nyerere angeamua kufanya kama wanavyofanya wao sijui wangekua wapi tena wengien Maprofesa wamesoma kwa fedha zetu bure kabisa.

Nchi za wenzetu watu kama hawa wala hawakopeshwi ila wanasomeshwa bure tena scholarship za serikali au Chuo moja kwa moja! Tuendelee kudhulumu watu korosho zao tu ndicho tunachoweza.
mkuu punguza lawama ivi ada ya chuo ni sh. ngap na iyo hela ya kujikimu ni kiasi gani? kama waliweza mudu miaka 4 ama 2 kwa m. 3 chuo pia wakomae kwa hili serikali wako sawa sana
 
Kwa hiyo umeona kwenye post uliyoanzisha mwanzo umeshindwa, umeamua fungua nyingine siyo
Kaingia top ten kwa Tanzania nzima na bado kakosa mkopo - JamiiForums

Anzisha hata 100, jibu ni lilelile. Mikopo haipo kwa ajili ya walio faulu tu. Ipo kwa ajili ya walio faulu na hawana uwezo wa kumudu gharama za chuo. Acha ujinga wako.

Unatumia nguvu nyiingi kutaka kuaminisha watu kuwa ni uonevu umefanyika.

Tafuta kiki nyingine hii imekushinda.

Utu uzima ni pamoja na kutumia busara kuheshim au kukosoa mawazo ya mwenzako bila lugha chafu
 
Watamudu tu, wala msiwawazie hao. Mnaumiza vichwa wakati wenyew na wazazi au walezi wao hawaumii!!!
 
Utu uzima ni pamoja na kutumia busara kuheshim au kukosoa mawazo ya mwenzako bila lugha chafu
Na ndiyo maana nimekukosoa kwa kutoa point zangu.
Wewe kwa akili zako, unaona neno ujinga ni tusi.
Usha feli. Haya fungua uzi mwingine sasa.
 
Ni full vinyongo,kukomoana na roho mbaya! Kodi tulipe wote ila waifaidi wachache kwa matakwa ya watu fulani tu....

Halafu tunataka kwenda tanzania ya viwanda na uchumi wa kati..Kama hatuwezi kuthamini watu kama hawa sijui tunataka nini.. But CCM hazina yao ni mabumbumbu na vilaza wala tusishangae. Mwalimu Nyerere angeamua kufanya kama wanavyofanya wao sijui wangekua wapi tena wengien Maprofesa wamesoma kwa fedha zetu bure kabisa.

Nchi za wenzetu watu kama hawa wala hawakopeshwi ila wanasomeshwa bure tena scholarship za serikali au Chuo moja kwa moja! Tuendelee kudhulumu watu korosho zao tu ndicho tunachoweza.
Kumbe kuna watu wana full vinyongo kisa watu wanasoma private!! tuna safari ndefu kwa kweli. na watu wa aina hiyo kama ni jirani yako atashindwa kukuloga kweli.
 
Tumia akili kufikiria mkuu..huo ni mkopo kwa wale wasioweza kujisomesha chuo na sio fadhila kwa waliofaulu
Umenena vyema. Hakika huo ni mkopo kwa wasiojiweza na sio fadhila kwa waliofaulu. Aidha, Wizara ya Elimu huwa na kawaida ya kuwatafutia scholarship za nje vyo bora kwa wale wenye ufaulu mkubwa sana.
 
Christeve88 kumbuka tunazungumzia mkopo si ruzuku,huo ni mkopo ambao utalipwa,hivyo hujaambiwa umkopeshe wa ada ml5 dv 1 na umuache wa ada laki 1 dv2,hoja hapa ni kila mwanafunzi anahitaji mkopo
Unafahamu lengo la mkopo lkn? Unadhani serikali ina hela imeziweka mahali na hazina kazi?. Resources are always limited mkuu, hapo kinachoangaliwa ni kuchagua tuwasaidie watu aina gani na priority kwenye watu wa aina hiyo iwe ni nini? Kwakuwa rasilimali fedha haitoshi, kama nchi tumeamua kuchagua kusaidia masikini wasiojiweza kiuchumi na kipaumbele ni ufaulu wa juu na lazima wasome fani ambazo nchi inao upungufu. Thats it.

Ww umeweza kulipa ada ya form six 5m unashindwaje ada ya chuo 1.5m???
 
Kweli kuna ambao wamesoma private za gharama na wanaweza mudu cost za chuo but bodi itazame, si kila aliyesoma private anaweza kujilipia chuo. Private nyingine tukijikongoja zinalipika.

Mf. Mimi namsomesha dogo private. Ada na michango yao ni 1.8M kwa mwaka. Ni wastani wa 150K kwa mwezi. Hii napambana nalipa. Sasa nawaza, chuo akinyimwa mkopo, Ada ya udaktari smtms inafika 8-10M. Bado chalula&malazi. Ntaweza?

Ni hiyo shule ya 1.8M ndio ina determine kuwa naweza gharamia zaidi ya 12M kwa mwaka tena kwa miaka mitano?
Ada ya udaktari vyuo vya serikali ni ndogo sana mkuu. Labda apate ufaulu wa chini aende akasome vyuo binafsi.
 
Kwa hiyo umeona kwenye post uliyoanzisha mwanzo umeshindwa, umeamua fungua nyingine siyo
Kaingia top ten kwa Tanzania nzima na bado kakosa mkopo - JamiiForums

Anzisha hata 100, jibu ni lilelile. Mikopo haipo kwa ajili ya walio faulu tu. Ipo kwa ajili ya walio faulu na hawana uwezo wa kumudu gharama za chuo. Acha ujinga wako.

Unatumia nguvu nyiingi kutaka kuaminisha watu kuwa ni uonevu umefanyika.

Tafuta kiki nyingine hii imekushinda.
Afadhali apewa vidonge vyake
 
Ilitakiwa wote wanaochukua Sayansi wapate mikopo bila kujali walikosoma. Nchi inahitaji wanasayansi.
 
Hao wote wanastahili kunyimwa mtu amesoma feza ada million kadhaa Leo wanaomba mkopo wawaachie watoto wa maskini kayumba wao miaka 6 zaid ya million 40 waache kulalamika
 
Ilitakiwa wote wanaochukua Sayansi wapate mikopo bila kujali walikosoma. Nchi inahitaji wanasayansi.
wanasayansi wapo wengi kitaa wanatafuta kazi na kazi zenyewe hakuna. Naamini serikali itaendelea kuwalipia wale wanaosoma fani ambazo nchi ina upungufu
 
Back
Top Bottom