Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 10,474
- 8,814
Kuhusu ulivyojibu Yesu aliye hai.Kuhusu nini mkuu!!!
Kuhusu ulivyojibu Yesu aliye hai.Kuhusu nini mkuu!!!
Yes!!! huyu ndiye aliye kufa na kufufuka, na sasa kila anayemwamini HATAKUFA bali ataishi milele!!!Kuhusu ulivyojibu Yesu aliye hai.
Asante nimekuelewa ila mimi nilikuwa namaanisha kuwa hakuna Binadamu mwenzetu aliyefariki akafufuka akaja kutuelezea kinachoendela baada ya kifo.Yes!!! huyu ndiye aliye kufa na kufufuka, na sasa kila anayemwamini HATAKUFA bali ataishi milele!!!
Agiza kitimoto kilo saba nakuja kulipa mkuuHakuna walipokwenda, the moment wanakufa ndo inakuwa mwisho wao, hakuna kinachoendelea, utambuzi wao, maarifa yao, na Kila kitu kinaishia hapo, kinachofuata ni kuzikwa and then decomposition inachukua nafasi na kinachofuata ni all element kurudi kwenye udongo na kurutubisha mengine, kiufupi hakuna tena maisha baada ya Kifo, inakuwa kama vile kipindi hujazaliwa, hukuwepo na Wala haikukuumiza Wala kukushughulisha, na ndiyo hivyo baada ya kufa, inakuwa ndo mwisho wa uwepo wako, hakuna mbingu Wala moto wa milele, it's just the end of you, the end of your existence
Ukweli huu hapa ambao watu hawataki kuusikiaHakuna maisha baada ya kifo , ukifa umemaliza yote yakupasayo kwahiyo asitokee mtu akakudanganya etii kuna sehemu wanakwenda , hakuna bali wanaoza nakubakia mifupa mitupu.
Jambo likishakuwa la kiroho basi mpaka hapo ugaigai umeanza, hakuna Cha maana tenaHaya mambo ya Roho ni myth tu
Nani amewahi kubeba zege Kwa Imani? Au Dunia nzima hakuna mwenye Imani kiasi Cha kuhamisha mlima?“Kwa sababu ya imani yenu ndogo. Ninawaambia kweli, mkiwa na imani ndogo kama punje ya haradali, mtauambia mlima huu, ‘Ondoka hapa uende pale,’ nao utaondoka”
🤔Tumeumbwa kwa mfano wa MUNGU! kinacho tufanya tufanane na MUNGU ni kipi?
🤣Roho inapatikana wapi sehemu ya mwili...
Kama wangekuwepo wenye imani hata kama ya punje ya haradali ,wangefanya mambo zaidi ya hayo ya kubeba zege.Nani amewahi kubeba zege Kwa Imani? Au Dunia nzima hakuna mwenye Imani kiasi Cha kuhamisha mlima?
Kwahiyo hawapoKama wangekuwepo wenye imani hata kama ya punje ya haradali ,wangefanya mambo zaidi ya hayo ya kubeba zege.
Jibu sahihi utalipata siku ukifa.Hakuna walipokwenda, the moment wanakufa ndo inakuwa mwisho wao, hakuna kinachoendelea, utambuzi wao, maarifa yao, na Kila kitu kinaishia hapo, kinachofuata ni kuzikwa and then decomposition inachukua nafasi na kinachofuata ni all element kurudi kwenye udongo na kurutubisha mengine, kiufupi hakuna tena maisha baada ya Kifo, inakuwa kama vile kipindi hujazaliwa, hukuwepo na Wala haikukuumiza Wala kukushughulisha, na ndiyo hivyo baada ya kufa, inakuwa ndo mwisho wa uwepo wako, hakuna mbingu Wala moto wa milele, it's just the end of you, the end of your existence
Inakuwa ni ngumu kuthibitisha inakuwa tu ni faith, na kitu kikiwa kwenye angle ya faith ni ngumu kuwa proved inabaki kuwa assumptionJambo likishakuwa la kiroho basi mpaka hapo ugaigai umeanza, hakuna Cha maana tena
Hakika. Ijapokuwa embu fikiria huu mfano mdogo ukiwa umelala in a dreamless night, assume umelala saa 4 usiku ukashtuka saa 11 alfajiri, unakuwa hujui what happens hapa katikati kuanzia saa 5 hadi saa 10, sasa usingizi ni kama nusu ya Kifo tu , so ina make sense kusema ukifa inakuwa ni eternal sleep without any thoughts, imagination or any feeling..Jibu sahihi utalipata siku ukifa.
😄😄Agiza kitimoto kilo saba nakuja kulipa mkuu