Waliokufa wamekwenda wapi??

Waliokufa wamekwenda wapi??

Hakuna walipokwenda, the moment wanakufa ndo inakuwa mwisho wao, hakuna kinachoendelea, utambuzi wao, maarifa yao, na Kila kitu kinaishia hapo, kinachofuata ni kuzikwa and then decomposition inachukua nafasi na kinachofuata ni all element kurudi kwenye udongo na kurutubisha mengine, kiufupi hakuna tena maisha baada ya Kifo, inakuwa kama vile kipindi hujazaliwa, hukuwepo na Wala haikukuumiza Wala kukushughulisha, na ndiyo hivyo baada ya kufa, inakuwa ndo mwisho wa uwepo wako, hakuna mbingu Wala moto wa milele, it's just the end of you, the end of your existence
 
Umeongelea mwili ila Roho haifi
 
Hakuna maisha baada ya kifo , ukifa umemaliza yote yakupasayo kwahiyo asitokee mtu akakudanganya etii kuna sehemu wanakwenda , hakuna bali wanaoza nakubakia mifupa mitupu.
Kuna madai kwamba wengine wanakufa halafu wanarudi kama misukule au wanarudi kama walivyo kuwa awali... what is your comment!
 
Be you find the truth ! You are just a spirit
Let's wait and see, death is inevitable anyway, we will find out if spirit do exist and if there is continuation of life in another realm, but for now I see 💀 as the cessation of all life form, the cessation of existence, the end of you, the same as the time before someone birth
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom