Waliokufa wamekwenda wapi??

Waliokufa wamekwenda wapi??

Mnavyodefine roho utafkiri nayo mmeifanyia practical kama umeme alaaah

Anyway mapepo yapoo, nna uhakika, mambo ya kifo yanatisha
 
Nilijuag roho ni moyo, lakin mbn moyo hufa ?
 
Hakika. Ijapokuwa embu fikiria huu mfano mdogo ukiwa umelala in a dreamless night, assume umelala saa 4 usiku ukashtuka saa 11 alfajiri, unakuwa hujui what happens hapa katikati kuanzia saa 5 hadi saa 10, sasa usingizi ni kama nusu ya Kifo tu , so ina make sense kusema ukifa inakuwa ni eternal sleep without any thoughts, imagination or any feeling..

Just think about it
Hakika katika hili una hoja,
 
Roho ni nini?

Ng'ombe, Mbuzi na Kuku wana roho ?
Binadamu pekee ndiye aliyeumbwa kwa mfano wa Mungu, akiwa na akili za utendakazi wa kiroho, dhamiri, na uwezo wa kuwajibika kwa matendo yake mbele ya Chanzo/Mungu.
Wanyama hawana utashi wa ukamilifu kama binadamu wakifa wamekufa wewe una utashi wa kutawala , (ufahamu)akili ya kutenda haki au dhambi.
 
Vipi kuhusu wanaozaliwa na ukichaa au mtindio wa ubongo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom