Waliochaguliwa SUA 2017/18 tukutane hapa

Waliochaguliwa SUA 2017/18 tukutane hapa

Kashatumbuliwa huyoo na Anko magu kitambo sana
huyo Fransis ndo yule alokua anapenda kushika mike na kutangaza coz flan iingie freedom square,, yule white flan hivi??....
 
huyo Fransis ndo yule alokua anapenda kushika mike na kutangaza coz flan iingie freedom square,, yule white flan hivi??....
Ye mweus bana
 
Join this Group for selected First Year Students at St. Joseph College of Health Science Boko Campus

Please Only Selected Students Should Join

This Group Is Administered By Ministry Of Education from Students Government.

Contacts 0769278878 for Any inquery

1st Year Medicine Boko
 
Wakuu Mwenye ufahamu na agricultural extension na ajira zake zipoje.
Msaada
asee kuna jamaaa ang anapiga hyoo, uhakika wa ajira selikalin, kujiajir pia unapiga hela kinoma of course n njema
 
Raia bioprocessing and posthavest engerneering imekaaje? Unafanya kazi gani? Na upatikanaji wake wa ajira upoje?
Hatujui kesho au mwakan au miaka minne ijayo mambo yatakuaje ila kwa hali ilivyo sasa hivi na kama ukiweza basi nenda kaamie agric engineering au irrigation engineering!!

NB: kama ni kozi unayoipenda basi nenda kaisome...
 
Hao 9 watakosaje Ajira ,

Mtie Moyo mwenzako , sisi tuliomaliza miaka ya 1990 , hiyo program ilikuwa inalipa sana
We kata baro ,danganya umemaliza miaka ya 90 wakati baanda anakusubiri kwenye engineering ethics SEM 7 pamoja na Avitus kwenye ergonomics SEM 8.Watakapo kupiga vinu vya nyuklia ndo utajua umemaliza 90 au utamaliza 2018 mungu akipenda.
 
Kuna kijana wangu alichaguliwa Bugando mwaka Jana .mkopo alipata asilimia 30 tu .alijitahidi kuendelea na masomo lakini baada ya miezi sita nilishindwa kumudu kulipa asilimia 70 ambayo ni milioni tatu hivyo aliacha kwa ajili ya kujipanga upya .Mwaka huu ameomba tena mkopo ila chuo amechaguliwa hapo SUA.Je anaweza kupewa mkopo tena kwa asilimia ileile au zaidi? Napenda kuwasilisha
 
Back
Top Bottom