buvaquine
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 364
- 171
Asante mkuu!!!!!Mdogo wangu hakuna ushauri kama kuwa na "NIDHAMU YA SHULE" nakusisitiza tena na tena usifanye chochote ila kuwa na "NIDHAMU YA SHULE" mdogo narejea tena fanya chochote utakacho wewe katika maisha yako ya shule ila tu usijeacha na kusahau "NIDHAMU YA SHULE"
Nawaombe taufiq kwa MUNGU MWENYEZI akutilieni baraka katika masomo yenu
Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app