Waliobanwa katika ajali wafariki

Waliobanwa katika ajali wafariki

Dah imeniuma sana, hasa yule dereva aliyekuwa chini kabisa...
 
Ni zaidi ya majonzi na hasira kwa watendaji,yanii,yanii masaa16? Moro hata mtungi wa gesi hakuna?
 
Wangeambiwa kuna kikao cha dharura na sitting allowance ipo,cruiser zote mkoani zingekua eneo la ajali.kupeleka tuu mitungi ya gesi kukata mabati wakashindwa?????
 
Duh kuna mambo mengine yanaweza kukufanya uwe na roho mbaya hata kama hukuwa nayo......
 
Jamaa wa CCM thread Kama hizi hauwaoni. Yaani serious my first enarmy in this world ni CCM. Nawachukia sana watu hawa wanafiki
cc Ritz,ZeMarcopolo,Mwigulu,Nape,Lukolo etc
 
Kikwete atatuma rambi rambi ns kuhudhuria mazishi
 
ingekuwa ni kipindi cha kampeni wangepata masaada wa hali mali!!go to hell ccm!!!!
jana niliona hii habari ITV nilitamani kulia......ila huyu Mungu yupo
 
Masisiem nitayachukia daima dumu natamani hata siku moja nilione moja limebanwa kama vijana wale na manguo yao ya kijani kwa masaa kumi bila kuokolewa ndo watajua kwa nn tunapigania haki hii kwa watanzania....
Maajabu kweli huku wengine wakiandaliwa ubwabwa ikulu kwa kuokoa....majanga mkwe..re huyu!!!!
 
Nchi ya Wajinga watupu...hata kuokoa watu kwa masaa 16 nchi hii haiwezi...ovyo sana serikali hii dhaifu sana legelege kama mlenda...
 
Yani hata vifaa vya kukatia vyuma vilikosena?.
Huu ni uzembe.
 
Wamenikera waandishi kuhoji mtu aliye katika hali ile...badala ya kuhakikisha mtu anapata huduma ya damu au drip na hewa ya kutosha wewe unampelekea mic??
hizo ambulance leo wikiend zimepaki kwenye mabaa au hazina mafuta..hakika huko tuendako nchi itakuwa na sheria vipande vipande kama somalia
 
Sisi waTanzania ni watu wazima na tumeona. Tunaomba waharakishe zoezi la ku-update daftari la wapiga kura ili 2015 tutoe hukumu ya haki kwa hawa waliotuchoka. Yaani masaa yote hayo hata winchi ingetoka dar ingewahi
Sawa bwana si mmeamua kupunguza kura za kuwa kataa 2015 kwa staili hiyo sawa tu.
 
Kamati za ulinzi na usalama my a!...f...k! F...em all! Nchi gani hii? Serikali gani hii isiyo jali wananchi wake? Wangekuwa ni wawekezaji ungekuta mpaka magari ya deraya yamepelekwa ndani ya dk 10....Kambi ya jeshi ya kinonko ipo km chache kutoka maseyu! Why?....
 
Jamani jamani jamani ndugu zangu watanzania, ccm ifanye uovu gani mtambue kuwa hiki siyo chama cha siasa bali ni kundi la majambazi wenye lengo la kuiangamiza nchi hii??????? Hivi angekuwa Mkuu wa Mkoa au Wilaya au kiongozi yeyote wasingemwokoa? Kweli ndugu zetu wanakufa huku wanajiona na taarifa imewafikia watanzania wote!!!! Nasema hii ni laana kwa taifa na ndiyo maana ndani ya uongozi wa kikwete nchi imekumbwa na mikosi kila kukicha kwa sababu ya laana zinazotokana na masikitiko ya wananchi. Eeee Mwenyezi Mungu tuvushe salama na kiongozi huyu asiyewajali wananchi anaowaongoza.
 
Back
Top Bottom