Mm wanaonikosha ni
bubu atakakusema
mtambuzi kwa majibu ktk topic unanifurahisha sana
dack city
father of all
the boss
asprin akikujibu hata kama unaumwa kichwa kinapoa maana unaweza ukasikia kizungu zungu
lara 1, i love the way unavyotupa moyo wanawake
mwanajamii one
gfsonwin
Shukrani sana mkuu. Mie babu jipenda misifa leo ntakunywa maginesi mengi kwa afya yako na ya gelofrendi wako.
Hapo red bold Hakika ninamkosa sana dada yangu huyu nliyekuwa namkubali saaaaana! Akiwa anatumia ID ya Gender Sensitive tulishapangaga miadi ya kukutana naye nikijua naenda kukutana na njemba mwenzangu! Alinishangaza kuliko alivyonishangaza charminglady siku ile Brajec pale nilipokutana na bonge la mrembo wakati nilijiaminisha ni dume lenzangu,
RIP my dear Dada, ntakukumbuka daima.
Yaani hata mie nakupenda sana kasiko, ila bila kuficha ukweli sikupendi kama nimpendavyo cacico wangu. Ananikoshaje sasa??
Hahahahaha.......... huna haja ya kusema bana. Babu ni mtaalam wa kusoma katikati ya mistari. LOL
Hahahahaha!afu wewe?
Mbona hunitaji??
Labeka charminglady mpenzi, umeniita?:mwaaah:we babu wewe!!!!!!!
Humbled bro, Thanks.
Jf kwa ujumla wa thread zake zote, hususan jukwaa la MMU tangia 2007 na wachangiaji wake wote.....nikiwataja wote patakuwa hapatoshi, ila wanaonigusa directly ni pamoja na...
Soulmate aka MwanajamiiOne, mama wa "nalivua pendo", BelindaJacob mama wa "ameuteka moyo wangu", Nyamayao, King'asti, AshaDii, Lizzy, WomanOfSubstance, na wengineo wengi wengi kina LD Maty, etc etc...
Kina baba na kina kaka kama vile mkongwe Asprin ...huyu mzee wa "ulikuwa wapi siku zote"... 😉 klorokwini The Finest, The Boss, swahiba Dark City, EMT, Tuko, kamanda wangu MTM, Eiyer mwenyewe na wengi wengineo.
Big up & Much Respect!
Afu weeuweeee!Jamani nimewamiss sana.
Katika hili shukrani zangu ziwafikie wana MMU wooote wapya na wakongwe wakiongozwa na
Da Wakubwa Nyamayao. Kaunga, nyumba kubwa, King'asti. @ AshaDii BelindaJacob,@FixedPoint, Smile, Smiles eh mki=ono wauma
Mababu @Dack City, Asprin kubwa lao, @ Nyani Ngabu, @RR, @ The Finest na wengine wooooote including;
Soulmate Mbu ..........umenikumbusha mbali na 'nalivua pendo' dah!!
I miss Faiza FOX. She was awesome. She had the courage of being tough and straight shooter.
Hahahahaha!
Wewe tena? Hivi hata asali zinatajwa humu?
Kongosho, asali ya ODM. Source: Asprin.
NB: Hapa tunazungumzia waliobadilisha "maisha" yetu si ndio? Mi tangu nijiunge na JF maisha yangu hayajawahi kubadilika.
1. Bado naamini katika bia na bia na bia tena.
2. Bado ni mweka hazina wa Infidelity Social Club (ISC) chini ya uongozi wa Mtukufu Kaizer
3. Bado nawaabudu mabinti zangu wawili ambao nshapiga marufuku wazembe wasiwasogelee (ikibidi ntawaoa mwenyewe)
4. Bado namtukuza mkoloni wangu anayenilipa vijisenti navyotesa navyo kina Eliza and co. kwenye bar za uswazi.
Nyingine malizia wewe bana....
Hehehehehe! Yaani Kiranga akikufagilia wewe naongea na Mubyazi akufanye Modereta Mkuu wa jukwaa la Wakubwa walioshindikana.
Afu weeuweeee!
Nikikukamataaaaaaa!!
Hapo kwa red unasemaje, nimekubadilishia maisha yako? LOL
It is evident that the iconoclasm of our views make some of us unpopular :becky:
ukimkamata na mie nakukamata mkia
Jamani nimewamiss sana.
Katika hili shukrani zangu ziwafikie wana MMU wooote wapya na wakongwe wakiongozwa na
Da Wakubwa Nyamayao. Kaunga, nyumba kubwa, King'asti. @ AshaDii BelindaJacob,@FixedPoint, Smile, Smiles eh mki=ono wauma
Mababu dack City, Asprin kubwa lao, @ Nyani Ngabu, RR, @ The Finest na wengine wooooote including;
Soulmate Mbu ..........umenikumbusha mbali na 'nalivua pendo' dah!!
Hehehe, usije ukaukata mkia wa mwenzio. Si unajua mamba bila mkia anakuwa mjusi kafiri?
Ha ha ha ha, nitakuwa mke mwenza ama hausi gelo??
HE he he, kaka shemeji ngoja faili lake niliweke juu, soon nitakupa majibu.
Nimechoshwa na SU, kila siku ana ingizo jipya kama CCM
he he he, nataka awe na mkia wa kuku
maana kazidi fujo
Weka hilo faili juu mama, mi ntakuwa na mow madevu ya kaka shemeji manake na huo mkorogo usoni busu litakuwa suicide mission oooh, senk yuuu vere macheee.
Ukijiingiza anga zangu nakugeuza kidampa, yaani uniharibie kijiwe changu hapa mjini. Tena Paw namuambia akuoe kabisaa, siku ya mahari nakufunika kitenge. Utakomaje? Nna mbinu za ki-CIA
Labeka charminglady mpenzi, umeniita?:mwaaah:
Hehehehehe! Yaani Kiranga akikufagilia wewe naongea na Mubyazi akufanye Modereta Mkuu wa jukwaa la Wakubwa walioshindikana.