Walio ndoani wanaongoza kutoa mimba

Hvi Iddy inakaribia muda si mrefu kumbe!!!Nimesha U note mualiko wa Iddy kwenye Diary
Bila Shaka nitakutana na Biriani na zile nyama mnazoweka mtindi kwa mbali
Eeh!!tarehe za mwanzo za June etiii!!

Note tuu
 
Daaah hii ni kweli kabisa ....kuna mmoja aliniambia wametoa mimba mbili na moja ikaharibika. Yaani ni hatari
 
Sio kweli zamani walizaa sana mana ujuzi ulikua mdogo..wapi mtu aende kufanya panga uzazi?..

Sikuhz ukiachia utazaa 16
Sasa nani anaweza lea?.
Wenye wake wengi walizaa zaidi mana leo anazalisha kote kote
Hawajui kumwaga nje wala kondom
Siku hizi ujuzi umeongezeka wa kutoa mimba na kuua!?
Zamani mwanaume ana wake zake 3 au 4.
Kila mwanamke anazaa watoto 6.
Hana shida na maisha yanaendelea.
Na watoto wanakuwa na afya Safi na wamepishana vizuri kwa mama mmoja.
Uoga wa maisha umeshababisha watu kuogopa kulea watoto ila wanakuwa na uwezo wa kulea magari matatu na kuyawekea mafuta
 
Sasa hii ndoa au karaha!!
Na unategemea uko peke yako kwa huyo mwanaume!!
 
Life was hard zamani bruhh

Ila ndo hvo kila kitu kina faida na hasara

Japo naona we umejikita kwny polygamy
Ushaoa wangapi saivi hahahahaha?.,
Unawamudu baba au unasaidiwa?.
 
Life was hard zamani bruhh

Ila ndo hvo kila kitu kina faida na hasara

Japo naona we umejikita kwny polygamy
Ushaoa wangapi saivi hahahahaha?.,
Unawamudu baba au unasaidiwa?.
Hata ukiwa na mmoja unasaidiwa Sana tu.
Ingekuwa hivyo wanawake walioolewa wasingekuwa wanachepuka.

Ujue kutest more than one taste Ni human nature.
Zamani wazee walikuwa wanasaidiwa hata Sasa hivi tunasaidiana kwa mke huyu huyu mmoja.
Tena watu wanazaa hata kwa huyo mmoja aliyepo.
Bora zamani watu wanaweza sema mume alikuwa busy kwa wake wengine. Siku hizi unakuta jamaa la watu halijui hata kuchepuka ila limeuziwa mbuzi kwenye gunia hata wawili. Ndani ya ndoa
 
Ni dhambi moja mbaya sana, kipindi fulani tulitaka kuifanya namshukuru malaika aliyenitembelea saiv baby boy ndiye rafiki na mfariji wangu

Halafu wanawake tujue kuwa hawa wanaume unaposhiriki nae kwenye hii kitu ipo siku isiyo na jina atakutukania hilo tukio

Kama umedhamiria kuwa mama wa marehemu fanya iwe siri yako lkn kutaka na mumeo ajue kuwa ni baba wa marehemu ni kujiandalia masimango yatakayokuumiza mwenyewe

Kwenye hili ni mwanamke tu ndiye mwamuzi hivyo basi tunastahili kulaumiwa na kuubeba huu mzigo,,,, ukiitoa mimba hata km mumeo mmekubaliana lkn ujue mwenye mzigo wa dhambi ni wewe mwanamke
 
Kufanya abortion kwa sababu za kiafya katika ndoa ni sawa kabisa.
 
Hamna namna inabidi tuonjeane tuu
 
Punguza burden of guilt
Ts unfair kumbebesha mwanamke tu kisa mwanaume hapati mimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…