Walio ndoani wanaongoza kutoa mimba

Mi naunga mkono utoaji wa mimba zisizo na mipango.

Kiumbe hai ni kile kilichofika duniani na sio tumboni.

Kama mimba imekuja kimazabe we toa tu.
 
Hahaaa...ukajikuta umelibebaa hilooo
Yes
Sema Kuna mda nilikuwa namfoc tufanye kuadopt akawa anasita,anajua mie napenda watoto sema tatizo majukumu ya kutafuta hela yananibana,akaona anipe mzigo niulee kuliko kuadopt,nami sikuona kama ni Jambo baya watoto ni barka.Hata Sasa napiga sana mishe za hela na tumbo langu,yote kheri.
 
Ameen!kuadopt kipaji jamani kaahh!!!
Ila muhimu kuelewana tu jamani kila kitu kinakaa sawa
 
Chapisho la huu utafiti wako liko wapi?

Tuone ukweli wa data zako...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…