Walio ndoani wanaongoza kutoa mimba

Kikubwa ni kuangalia source ya Tatizo

Matumizi ya njia artificial nayo yamekuwa na gharama zake!

Njia za asili nazo muda mwingine zinasaliti!

Je tufanyeje?
Vibaya mnoo njia za asili hamna kabisaa naziogopa balaa
 
Kazi ipo kaah![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mbona havihusiani kaka ..kwani uongo haya yasemwayo?daah!bongo nyosoo
Siyo kwamba kwa kuwa wewe hujaolewa sasa umepata pa kuwachamba wenye ndoa kwa kuwa na wao wanawasema ninyi msiyo na ndoa?
 


Aiseee
 
Hahaaaahaaa
 
Mkuu hazijawahi kunisaliti ila labda kwa kuwa sijaoa .

Nadhani si rahisi kuzungumzia family planning method ukiwa na mtu unakutana nae mara moja moja

Ni tofaut sana kulinganisha na wanandoa,

Mnaweza tu kujikuta tukio fulani limewapelekea mpaka kwenye tendo bila kuplan

Ukihesabu unaona ni siku ya tisa unachukulia poa,
Mwishowe mtu ananasa.

Saa nyingine mtu anakojoa nje kumbe wazungu hawajaisha anachomeka tena,kitu kinanasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…