Walio ndoani wanaongoza kutoa mimba

Uko vzr!!!![emoji3][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Na umezaji wake kidogo kuna tofauti kwa ajili ya utowaji mimba unaviweka chini ya ulimi unameza mate ....kwa vidonda vya tumbo unameza na maji kama kawa
 
Uko vzr!!!![emoji3][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hebu niache tafadhali[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
 
Hapana haina athari ukimeza kufuata masharti ya Dk...sema mimba unaweka chini ya uke na unameza chenyewe!!!kama kilivyo
Kwa hiyo haihusini na uzazi?

Mana kama inamezwa na mwenye vidonda vya tumbo ila akimeza mwenye mimba inatoka mana yake sio salama hata kwa wanaotumia kwa vidonda vya tumbo
 
Dawa zinatoa mimba tena nafikiri ndo soko lake lipo huko!!!
Loh mkuuu kumbe me najua ni dawa ya ulcer inaenda sambamba na aspirin, ibuprofen, naproxen.
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]!!joanah pole na hongera!!!
Mie hata dawa zenyewe nimezisoma katika huu uzi
 
Hebu niache tafadhali[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
Akuuu!!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]sijakushika miye
 
Wapi umeona nimeandika nimemeza?

Swali lako ulivyoliuliza lina content fulani kwamba hizo dawa unazijua na huenda uliwahi kutumia bila kujua. Ndiyo ukauliza "kumbe ndiyo zinatoa mimba"!
 
Hivi siku hizi misoprostol wanameza??[emoji849][emoji849]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…