julaibibi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2020
- 2,693
- 3,539
Na weng wa hapa hawajawah kuingiza nchini hata nusu kontena.unawakuta jashoo na mishipa imesimamaYaani uende geita au bunda umfafanulie mtu mambo ya bandari? Katika maoni na maswali ya wananchi umesikia wakitaja bandari.? Watu wana mahitaji yao kuliko bandari..wanajua bandari haiwezi kuwapa chakula cha bure wala matibabu bure.
Wasikilize watu uone jinsi wanacholalamikia..mambo ya bandari ni sisi huku mitandaoni..huko site watu wanataka maji, barabara, umeme, madawa, vituo vya afya, ardhi, haki, huduma,stendi na kuondolewa sheria kandamizi.
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Mlango tu wa forodha za ndan tu hawaujui