Huenda anafanya kwa Lengo zuri. Huenda anataka kukisaidia chama lakini Lazma ajue kujizuia. Kuwa maarufu kuliko Rais ni kama uhaini kisiasa.
Walio karibu na Makonda wamwambie hatakiwi kuwa Maarufu kuliko Rais.
Kisiasa huo ni kama uhaini
Ama ajizuie au atazuiwa soon. Au....
Alitaka awe hivyo makamu mwanzo.
Huo ndio siasa za dunia zilivyo. Dunia nzima hutakiwi kuwa maarufu kuliko kiongozi wa Juu hata kwenye eneo lako. Hata ukiwa mbunge hutakiwi kusikilizwa au kuwa na ushawishi kuliko Rais wa chama chako kwenye eneo lako.
Aliruhusu Rais wa Zaire mwaka 1960 Lumumba ndio akasikilizwa
Obote aliruhusu Iddi Amin awe maarufu kuliko yeye.
Aliruhusu hilo Thabo Mbeki, kwa Jacob Zuma. Na alipotaka kushugulikia swala lake la rushwa wanachama wa ANC wakamshugulikia yeye na Zuma akampokonya urais.
Ilitokea kwa Lowasa na JK.
Pia Nyerere na Sokoine au John Okelo na Karume.
Nawakumbusha tena mwambieni asiwe maarufu kuliko au kumkaribia Rais.
Sasa anaagiza, anahutubia, anasindikizwa. K
Kama anafanya kwa bahati mbaya sielewi kabisa. Hana washauri. Uingereza Mfalme alichagua hadi uongozi wa kanisa.
Labda kama ana plan B. Lakini kama anataka kuwa chini ya mama basi Ajue tu Asiwe maarufu kuliko Rais.
Wewe ni shemeji yake dokta slaa au mume mwenzie?Huenda anafanya kwa Lengo zuri. Huenda anataka kukisaidia chama lakini Lazma ajue kujizuia. Kuwa maarufu kuliko Rais ni kama uhaini kisiasa.
Walio karibu na Makonda wamwambie hatakiwi kuwa Maarufu kuliko Rais.
Kisiasa huo ni kama uhaini
Ama ajizuie au atazuiwa soon. Au....
Alitaka awe hivyo makamu mwanzo.
Huo ndio siasa za dunia zilivyo. Dunia nzima hutakiwi kuwa maarufu kuliko kiongozi wa Juu hata kwenye eneo lako. Hata ukiwa mbunge hutakiwi kusikilizwa au kuwa na ushawishi kuliko Rais wa chama chako kwenye eneo lako.
Aliruhusu Rais wa Zaire mwaka 1960 Lumumba ndio akasikilizwa
Obote aliruhusu Iddi Amin awe maarufu kuliko yeye.
Aliruhusu hilo Thabo Mbeki, kwa Jacob Zuma. Na alipotaka kushugulikia swala lake la rushwa wanachama wa ANC wakamshugulikia yeye na Zuma akampokonya urais.
Ilitokea kwa Lowasa na JK.
Pia Nyerere na Sokoine au John Okelo na Karume.
Nawakumbusha tena mwambieni asiwe maarufu kuliko au kumkaribia Rais.
Sasa anaagiza, anahutubia, anasindikizwa. K
Kama anafanya kwa bahati mbaya sielewi kabisa. Hana washauri. Uingereza Mfalme alichagua hadi uongozi wa kanisa.
Labda kama ana plan B. Lakini kama anataka kuwa chini ya mama basi Ajue tu Asiwe maarufu kuliko Rais.
ana mamlaka? Kapata api?Huenda anafanya kwa Lengo zuri. Huenda anataka kukisaidia chama lakini Lazma ajue kujizuia. Kuwa maarufu kuliko Rais ni kama uhaini kisiasa.
Walio karibu na Makonda wamwambie hatakiwi kuwa Maarufu kuliko Rais.
Kisiasa huo ni kama uhaini
Ama ajizuie au atazuiwa soon. Au....
Alitaka awe hivyo makamu mwanzo.
Huo ndio siasa za dunia zilivyo. Dunia nzima hutakiwi kuwa maarufu kuliko kiongozi wa Juu hata kwenye eneo lako. Hata ukiwa mbunge hutakiwi kusikilizwa au kuwa na ushawishi kuliko Rais wa chama chako kwenye eneo lako.
Aliruhusu Rais wa Zaire mwaka 1960 Lumumba ndio akasikilizwa
Obote aliruhusu Iddi Amin awe maarufu kuliko yeye.
Aliruhusu hilo Thabo Mbeki, kwa Jacob Zuma. Na alipotaka kushugulikia swala lake la rushwa wanachama wa ANC wakamshugulikia yeye na Zuma akampokonya urais.
Ilitokea kwa Lowasa na JK.
Pia Nyerere na Sokoine au John Okelo na Karume.
Nawakumbusha tena mwambieni asiwe maarufu kuliko au kumkaribia Rais.
Sasa anaagiza, anahutubia, anasindikizwa. K
Kama anafanya kwa bahati mbaya sielewi kabisa. Hana washauri. Uingereza Mfalme alichagua hadi uongozi wa kanisa.
Labda kama ana plan B. Lakini kama anataka kuwa chini ya mama basi Ajue tu Asiwe maarufu kuliko Rais.
Atalifanyia kazi ugeni wa nafasi unamvuta zaidi Kwa sasa anaona mzigo kumtaja taja haswa Kwa kila sentensi , suala la muda atazoea tu.Ajitahidi kutaja jina la Rais kadiri inavyowezeka walikuwepo kina Sokoine kabla yake,mwambieni ukweli kumsaidia
Ajifunze pia kwa Pm majaliwaAjitahidi kutaja jina la Rais kadiri inavyowezeka walikuwepo kina Sokoine kabla yake,mwambieni ukweli kumsaidia.
Yeah. Never outshine your master popote pale la sivyo uwe na plan B kama mambo yakienda kombo la sivyo ujifanye mjinga tu.Laws of power,
Never outshine the master.
Upo sahihi mkuu,makonda anachokifanya nj kulivuga bwana ili kambale wawaze kukamatika, na huu ni mkakati maalum kutoka juu kwa mwenyekiti Taifa.na kwa kweli imewasaidia sana ccm,naona matumaini na uhai wa chama unaimalika.Mwenye nchi ashamaliza kuwa maarufu ndani sasa zamu ya nje wamjue, muache kijana awafunge midomo wajuaji au watesi wa mpendwa wake hayati JPM. Nyuma ya pazia hakuna angeweza kunyanyua midomo kama afanyavyo mwenezi na vile usingizi uliwajaa CCM wengi wao wakiwa wanavizia kudandia makundi sasa vuruga vuruga wa mipango kapewa kazi Chini ya kapeti.
Uwanja ungekuwa msafi ilikuwa mwenezi ni Mwendo wa kutupa madongo Kwa wapinzani sasa ground iko rough mno hakuna budi kuisawazisha ili akianza kutupa mawe Kwa jirani awe na pa kuzungumzia na kwake alivyopaosha, huu ni mkakati wa uongozi wa juu haswa mwenyekiti Kwa maslahi mapana ya kujiwekea mizizi Kwa kuwafyekelea mbali watakaothubutu kumpinga mwenezi na vile wajuba washasoma mchezo Mwendo wa tumesikia na tunatii hadi kieleweke kwenye game mfano mzuri alianza na PM ikawa ni king'ora murua.
No, God lifts, makonda anakubalika. Wachukie wamfanyie baya lakini Watanzania si wajinga. Makonda fanya kazi zako hata muuaji naye atakufa tu.Huenda anafanya kwa Lengo zuri. Huenda anataka kukisaidia chama lakini Lazma ajue kujizuia. Kuwa maarufu kuliko Rais ni kama uhaini kisiasa.
Walio karibu na Makonda wamwambie hatakiwi kuwa Maarufu kuliko Rais.
Kisiasa huo ni kama uhaini
Ama ajizuie au atazuiwa soon. Au....
Alitaka awe hivyo makamu mwanzo.
Huo ndio siasa za dunia zilivyo. Dunia nzima hutakiwi kuwa maarufu kuliko kiongozi wa Juu hata kwenye eneo lako. Hata ukiwa mbunge hutakiwi kusikilizwa au kuwa na ushawishi kuliko Rais wa chama chako kwenye eneo lako.
Aliruhusu Rais wa Zaire mwaka 1960 Lumumba ndio akasikilizwa
Obote aliruhusu Iddi Amin awe maarufu kuliko yeye.
Aliruhusu hilo Thabo Mbeki, kwa Jacob Zuma. Na alipotaka kushugulikia swala lake la rushwa wanachama wa ANC wakamshugulikia yeye na Zuma akampokonya urais.
Ilitokea kwa Lowasa na JK.
Pia Nyerere na Sokoine au John Okelo na Karume.
Nawakumbusha tena mwambieni asiwe maarufu kuliko au kumkaribia Rais.
Sasa anaagiza, anahutubia, anasindikizwa. K
Kama anafanya kwa bahati mbaya sielewi kabisa. Hana washauri. Uingereza Mfalme alichagua hadi uongozi wa kanisa.
Labda kama ana plan B. Lakini kama anataka kuwa chini ya mama basi Ajue tu Asiwe maarufu kuliko Rais.
Ni suala la aliye nyuma yake ( mwenyekiti)aweke kichwa kingine cha kumfunga kipunguza mwendo, ujana unamfanya anajisahau kwamba mwenye kuwa kwenye Headlines za nchi muda wote ni Raisi pekee.Upo sahihi mkuu,makonda anachokifanya nj kulivuga bwana ili kambale wawaze kukamatika, na huu ni mkakati maalum kutoka juu kwa mwenyekiti Taifa.na kwa kweli imewasaidia sana ccm,naona matumaini na uhai wa chama unaimalika.
Lkn pia mleta mada ana hoja ya msingi sana,yaani ni hatari sana kuwa maarufu kuliko mkuu wa nchi, hili jambo haliwezi kuruhusiwa na vyombo vya usalama.historia inatuambia hivyo. Hii ni hatari sana kwa makonda. Yaani uwe maarufu kuliko rais wa nchi!, uwe na ushawishi kuliko rais wa nchi!, upendwe kuliko rais wa nchi!?, HAIWEZEKANI.MAKONDA AJIANGALIAE SANA,BAADA YA KUTUMIKA ATATUPWA JALALANI AU SHIMONI
Sijui humu kuna watu wanaelimu gani. Oska Kambona alikosana na Nyerere kwasababu ya kuwa maarufu Kwenye baadhi ya taasisi hasa jeshini kuliko nyerere. Jeshi limegoma yeye ndio kaenda kulituliza.Anachofanya Makonda ni sahihi ndizo siasa zinazohitajika kwa mazingira ya sasa ya kisiasa, akina Sofia na waenezi wengine walishindwa na CCM ilikuwa inaenda shimoni kijana amefufua ari hususani kwa watu wa chini kanda ya ziwa na kwingineko.
Amuulize Liberata Mulamula....Huenda anafanya kwa Lengo zuri. Huenda anataka kukisaidia chama lakini Lazma ajue kujizuia. Kuwa maarufu kuliko Rais ni kama uhaini kisiasa.
Walio karibu na Makonda wamwambie hatakiwi kuwa Maarufu kuliko Rais. Kisiasa huo ni kama uhaini
Ama ajizuie au atazuiwa soon. Au....
Alitaka awe hivyo makamu mwanzo.
Huo ndio siasa za dunia zilivyo. Dunia nzima hutakiwi kuwa maarufu kuliko kiongozi wa Juu hata kwenye eneo lako. Hata ukiwa mbunge hutakiwi kusikilizwa au kuwa na ushawishi kuliko Rais wa chama chako kwenye eneo lako.
Aliruhusu Rais wa Zaire mwaka 1960 Lumumba ndio akasikilizwa. Obote aliruhusu Iddi Amin awe maarufu kuliko yeye.
Aliruhusu hilo Thabo Mbeki, kwa Jacob Zuma. Na alipotaka kushugulikia swala lake la rushwa wanachama wa ANC wakamshugulikia yeye na Zuma akampokonya urais.
Ilitokea kwa Lowasa na JK. Pia Nyerere na Sokoine au John Okelo na Karume.
Nawakumbusha tena mwambieni asiwe maarufu kuliko au kumkaribia Rais.
Sasa anaagiza, anahutubia, anasindikizwa. Kama anafanya kwa bahati mbaya sielewi kabisa. Hana washauri. Uingereza Mfalme alichagua hadi uongozi wa kanisa.