Serikali kupanga upya walimu kulingana na ngazi za elimu, wenye diploma kufundisha elimu ya msingi

Mwizukulu wa Buganda

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2024
Posts
638
Reaction score
1,771

Serikali imeanza mpango wa kupanga upya walimu kulingana na viwango vyao vya elimu, ambapo walimu wenye stashahada watapangiwa kufundisha katika shule za msingi huku wale wenye shahada wakielekezwa kufundisha ngazi ya sekondari.

Hatua hiyo inalenga kuongeza ufanisi katika ufundishaji kwa kuzingatia utaalamu wa walimu pamoja na mahitaji ya kila ngazi ya elimu.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Daniel Mushi, amesema mpango huo ni sehemu ya maboresho ya mifumo na miundombinu ya elimu nchini.
 
Hapa kwenye elimu bado tuna shida sana. Kwenye nchi za wenzetu, hakuna mwalimu asiyekuwa na angalau bachelor’s degree ya ualimu. Sharti tutambue kwamba huko chini kwenye msingi ndiko kwa muhimu zaidi. Nyumba yenye msingi mbovu kimsingi siyo nyumba!
 
Hawa wanetu wao haiwezi kupita miezi sita bila kunyanyaswa .

Nakumbuka kuna wamba na degree zao walipelekwa msingi alafu eti sasa hivi wanarudishwa sekondari yaani mpaka mtu aamue kuacha kazi tu
Kila mtu ni boss wa Mwalimu. 😂🤣

Ni kazi ambayo ni noble sana ila ndo inachezewa na kila Tom and Jerry. Pole zao nyingi Walimu.
 
Serikali imeanza mpango wa kupanga upya walimu kulingana na viwango vyao vya elimu, ambapo walimu wenye stashahada watapangiwa kufundisha katika shule za msingi huku wale wenye shahada wakielekezwa kufundisha ngazi ya sekondari.

Hatua hiyo inalenga kuongeza ufanisi katika ufundishaji kwa kuzingatia utaalamu wa walimu pamoja na mahitaji ya kila ngazi ya elimu.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Daniel Mushi, amesema mpango huo ni sehemu ya maboresho ya mifumo na miundombinu ya elimu nchini.
Serikali kurupushi! Wakilala wakiamka, wanakuja na matamko yasiyo na kichwa wala miguu.
 
Nilichojifuza sisiem inawapenda sana watu wenye elimu ndogo au wasio na elimu kabisa na wale wenye elimu kubwa na nzuri na uelewa mkubwa ndio wanaipenda sisiemu kwa maslai binafsi Angalia walinu,mapolisi,jeshi na uko jikoni tisi wengi elimu na uelewa mdogn au wale waliopata ufaulu mdogo lengo wawezwe kuendeshwa kiwepesi na wajanja wenye elimu
 
Hapa kwenye elimu bado tuna shida sana. Kwenye nchi za wenzetu, hakuna mwalimu asiyekuwa na angalau bachelor’s degree ya ualimu. Sharti tutambue kwamba huko chini kwenye msingi ndiko kwa muhimu zaidi. Nyumba yenye msingi mbovu kimsingi siyo nyumba!
Watakuelewa? Hawana vision yoyote ni matamko yasio na maana yoyoye TU!
 
Sidhani kama wanaelewa wanachofanya, mafunzo ya kumfundisha mtoto wa shule ya msingi ni tofauti na kumfundisha mwanafunzi wa sekondari na sio diploma au degree
 
Hapa kwenye elimu bado tuna shida sana. Kwenye nchi za wenzetu, hakuna mwalimu asiyekuwa na angalau bachelor’s degree ya ualimu. Sharti tutambue kwamba huko chini kwenye msingi ndiko kwa muhimu zaidi. Nyumba yenye msingi mbovu kimsingi siyo nyumba!
Tatizo la elimu tanzania sio kiwango cha elimu cha walimu ,tatizo la elimu ya tanzania ni mifumo ya elimu ndio tatizo lilipo kubwa kuna walimu wa aina zote za elimu lakini ni tatizo kubwa sana
 
Mimi waalimu huwa siwaonei huruma acha tu wafinyangwe vile serikali Yao inataka.

Hawa pamoja na degree zao na diploma zao huwa wanaiba kura wakisadiana na watendaji. Pumbavu sana
Kilichopo kwa walimu ndicho kulicho kwa polisi na idara zote za serikali huwezi kupingana na serikali unayo itumikia na umekula kiapo ,huwa mnaongea kujifurahisha tuu lakini swala la wizi wa kura lipo nje kabisa ya uwezo na maamuzi ua mwalimu au polisi au mtendaji labda aamue kutake risk maisha yake kitu ambacho ni ngumu ku take risk kwa ajili ya wanzania hawa ambao ni vilaza kabisa yakikukuta wanakuacha pekeyako una haha na wao wanakuwa busy na umbea wakina kajala na harmonize
 
Back
Top Bottom