Pesa za kuchukua fomu ya kugombea Urais anazochangiwa Samia bado hazijatimia?

Tulimumu

JF-Expert Member
Mar 11, 2013
14,305
12,969
Toka kampeni ya kumchangia Rais Samia pesa za kuchukua fomu makundi mbalimbali yameendelea kujitokeza kumchangia. Hivi toka walipoanza wakuu wa shule mpaka sasa PM naye kaenda kuchangisha wanawake hazijatimia?

Je, ni kweli mheshimiwa hana uwezo wa kulipia fomu mpaka achangiwe? Hivi aliomba au ni vimbele mbele kujipendekeza?

Kwani fomu ni shilingi ngapi na mpaka sasa zimepatikana shilingi ngapi?

Je, kama zikizidi change inabaki kwa nani?
 
Wakina Jokate na Zuchu watalipwa na nini michango ikirudishwa??
 
Watanzania ni wajinga miaka 200....ujinga huo hakuna nchi zinazojitambua......
 
Toka kampeni ya kumchangia Rais Samia pesa za kuchukua fomu makundi mbalimbali yameendelea kujitokeza kumchangia. Hivi toka walipoanza wakuu wa shule mpaka sasa PM naye kaenda kuchangisha wanawake hazijatimia?

Je, ni kweli mheshimiwa hana uwezo wa kulipia fomu mpaka achangiwe? Hivi aliomba au ni vimbele mbele kujipendekeza?

Kwani fomu ni shilingi ngapi na mpaka sasa zimepatikana shilingi ngapi?

Je, kama zikizidi change inabaki kwa nani?
Kama huna hela ya kuchangia acha wenye hela wachange. Zikibaki za kufanyia sherehe wakati wa kurudisha fomu.
 
Daaah vile nina shida na hizo fedha hata kidogo niweze kumtibia mzazi wangu! Wanisaidie hata mimi kidogo jamani.
 
Toka kampeni ya kumchangia Rais Samia pesa za kuchukua fomu makundi mbalimbali yameendelea kujitokeza kumchangia. Hivi toka walipoanza wakuu wa shule mpaka sasa PM naye kaenda kuchangisha wanawake hazijatimia?

Je, ni kweli mheshimiwa hana uwezo wa kulipia fomu mpaka achangiwe? Hivi aliomba au ni vimbele mbele kujipendekeza?

Kwani fomu ni shilingi ngapi na mpaka sasa zimepatikana shilingi ngapi?

Je, kama zikizidi change inabaki kwa nani?
Wanachama wa ccm jf tutamchangia mama yetu hatuta acha hili lipite
 
Mjinga sana wewe, kwani za join the chain zilitakiwa ngapi na zilipatikana ngapi, alikula nani? Mlisema?
Mzee kama hujui kitu kaa tu kimya kuficha upumbavu wako. Fomu ya urais ni 1m. Na tayari ishatimia kitambo, hizo nyingine wanazochangishwa "wanyonge" ni za kazi gani?
 
Umeulizwa za 'Join the Chain' mbona unarukaruka tu?
 
Nchi ya kisenge saana hii,
Nchi ya kijinga sana hii, wajinga ni wengi, na wenye akili wameamua kuzikalia akili zao.
 
Back
Top Bottom