Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 20,361
- 62,402
Hiyo mambo hata ulelewe vipi ni nature unakua unajua tu, leo hata uchukue watoto wawili wakiume na wakike walio zaliwa leo ukiwaweka sehem waishi peke yao bila kukutana na mtu yeyote bila kufundishwa chochote utawakuta wameanzisha familia.Usikariri coz humjui.,si kila mtoto kalelewa akifikia darasa la saba anaanza kusambaza upendo.
Ila sijasema hivyo kwa nia mbaya nimemaanisha anajua alichokiona ila maadili yake yamemfanya ashindwe kuelezea moja kwa moja.