MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,336
- 152,705
- Thread starter
- #101
Njoo ulete ndama za kutosha,Vizuri sasa njoo nikuwowe tumpeleke dogo pale ist, hamnaga huo ujinga wa mwalimu kumpapasa mtoto
Njoo ulete ndama za kutosha,Vizuri sasa njoo nikuwowe tumpeleke dogo pale ist, hamnaga huo ujinga wa mwalimu kumpapasa mtoto
Shida ipo kwa waziri wa TV anawasumbua watu wanaoimba facts kuirekebisha serikali na kuwaacha wanaoimba nyimbo za kuvaa vichupi hadharani kama vile yeye siyo wa jamii ya watanzaniaMwanamke au binti kama hajakukubalia basi huwezi kulala naye.
Shida mabinti wa sasa, wanaangalia kama kwenye TV halafu wanafanya kwa vitendo.
Ndama za nini tena wakati nitakuwa nalipa mil 70 kwa mwaka mtoto asomeNjoo ulete ndama za kutosha,
Vitoto vya siku hizi vinapigwa sana miti.Mtoto wa form 1 anajidai hajui kuwa aliwakuata wanafanyaje had anasema niliwakuta wanafanya Kama kwenye Tv
Huyo dogo ni muigizaji mzuri sana mkimuendeleza nafasi ya kanumba imepata mrithi.
Waalimu na wanafunzi wao, wote rika moja,Assalaam,
Ni hivi nina kawaida ya kuwahoji wadogo zangu maisha ya shule na marafiki wao wa aina gani?
Nina wadogo zangu wawili wapo kidato cha kwanza, na shule wanayosoma ni mpya ipo kidato cha kwanza tu.
Leo niliwauliza vipi shule kuna walimu wa kiume vijana wangapi? Madogo wakasema wapo wanne, wawili ni watu wazima lakini wawili ni masharobaro.
Nikawapa onyo/vitisho kuhusu hao vijana, yaani wasidanganyike maana ni bado wapo na akili za kitoto sana.
Mmoja akasema kuna siku nilikuwa napeleka daftari ofisini nikamkuta ticha na fulani walikuwa wanafanya kama kwenye TV….nikamuuliza walikuwa wanafanyaje? akasema walikuwa wananyonyana mate huku wamekumbatiana.
Aisee na huyu ticha ana mke na mtoto.
Walimu hii haipo sawa,waacheni watoto wasome, wewe ushasoma na upo kazini, imagine mtoto wako anafanyiwa hivyo kama unavyomfanyia mtoto wa mwenzio?
Msiwaharibie future wadogo zetu nao wanataka kuwa kama nyie.
Mjitahidi kubalance hiyo mihemko.
Ni kweli, mambo yamebadilika sana na hali si shwari.Sawa, jitahidini sana hapo nyumbani kufuatilia nyendo za huyo mdogo wako. Mafisi ni wengi sio walimu tu hata mitaani na kwenye social media
Usikariri coz humjui.,si kila mtoto kalelewa akifikia darasa la saba anaanza kusambaza upendo.Mtoto wa form 1 anajidai hajui kuwa aliwakuata wanafanyaje had anasema niliwakuta wanafanya Kama kwenye Tv
Huyo dogo ni muigizaji mzuri sana mkimuendeleza nafasi ya kanumba imepata mrithi.
Kumbe!!!!Kumpa elimu dunia
Unamsomesha mtoto na akikiua unataka umuoe[emoji23][emoji23], leta ndama kwa sista ake.Ndama za nini tena wakati nitakuwa nalipa mil 70 kwa mwaka mtoto asome
Jitahidini sana maadili yameporomoka mno, mabinti wadogo wameanza hadi michezo ya akina Amber Ruty na usagajiNi kweli, mambo yamebadilika sana na hali si shwari.
Sasa nitatakaje kumuoa tena wakati nilishakuoa wewe mwenye tako skonsiUnamsomesha mtoto na akikiua unataka umuoe[emoji23][emoji23], leta ndama kwa sista ake.
Angalau amalize form four wanajitambua kiasi, mbona nina mdogo wangu alivyomaliza form4 tulitaka tumpeleke chuo lkn aligoma akasema ni bora aende five/six kwasababu bado mdogo na mazingira/maisha ya chuo.lkn kwasasa yupo chuo na anajitambua kaenda kufanya nini.Hivi vitoto vinajua mambo mengi hadi vimalize form four salama ni Mungu awasaidie tu.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Maisha yamebadilika sana, ukizembea mtoto anaharibikaSiku hizi mzazi kakulia boding, hivyo hajapata malezi ya kijiji/mtaa/jamii nje ya boding. Malezi yanabaki kua ya mzazi tu kwa kusaidiwa na binti wa kazi. Ni marufuku mtu wa nje kumrudi mtoto asie wake afanyapo kosa. Ukimchapa tu umetafuta bifu la maisha, utaulizwa hadi alipotokea kama unapajua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mnaeleweka basi, mnakulaga kuku na maysi yakeSasa nitatakaje kumuoa tena wakati nilishakuoa wewe mwenye tako skonsi
Vitoto vinapigwa sana miti yaani wajuba wanavitumia kufanyia fantasies zaoMaisha yamebadilika sana, ukizembea mtoto anaharibika
Ah hao wanakuwa kaka zao mashetani. Sie wengine tunatulia na tako skonsi moja basi. Cha msingi asininyime mbususu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mnaeleweka basi, mnakulaga kuku na maysi yake
Badi thawa,kamua kwanza alizeti.Ah hao wanakuwa kaka zao mashetani. Sie wengine tunatulia na tako skonsi moja basi. Cha msingi asininyime mbususu
Usisahaj kuja jtatu nakutumia nauli mremboBadi thawa,kamua kwanza alizeti.