walimu wa gym wa kiume wana mvuto!

walimu wa gym wa kiume wana mvuto!

i moonlight as a (certified) personal trainer on the weekends and i have a bevy of female clients.

Does that mean i'm a hunk? Or is that what they think of me?

But i'm scared of mixing business with pleasure.

What y'all think? Should i hit it and quit it and tell everybody that i did it?
mmmmh as u wish
 
Smile ndo wewe? nimefurahi kuwa umeanza mazoezi kwenye gym, una ugomvi na shemeji yangu au unapunguza mafuta tu nawe uwe sexy?
 
Smile ndo wewe? nimefurahi kuwa umeanza mazoezi kwenye gym, una ugomvi na shemeji yangu au unapunguza mafuta tu nawe uwe sexy?
nipo sexy ila sisex!mazoezi ni afya si unajua?halafu shemeji yako katoka wapi kwangu ba ndugu?
 
samahani nilifikiri mdogo wangu ulikuwa na mtu unayetarajia kuishi nae kwenye maisha yako
kweli mazoezi ni muhimu nami ninataka kufanya mazoezi lakini nikitizama miguu yangu imechonga watu wanaweza kufikiria nina utapia mlo tumbo kubwa na miguu imechonga

nipo sexy ila sisex!mazoezi ni afya si unajua?halafu shemeji yako katoka wapi kwangu ba ndugu?
 
... yummy. Wanaitagwa tempting to touch. U cant get their image off your mind jamani. They look good enough to eat whole in a gulp. Yummy yummy. Kama ni dhambi ku admire God's creation itakuwa sio fair jamani.

I thout you are gone my diya, you are so lost au naniliu kapata mdogo wake?
 
nimekombolewa na kuokolewa juu

Kama ni hivyo basi nakushauri utafute eneo lingine la kufanyia mazoezi, kuliko kuikwaza roho yako.
Si unajua, jicho lako likikukwaza ling'e ulitupe maana ni heri kwenda mbinguni ukiwa chongo kuliko kuwa na macho 2 lakini moja limekukwaza.
Alafu mambo kama hayo huwa ndiyo mwanzo wa kuannguka kiroho. Sa unajua tamaa ikichukua mimba uzaa dhambi, dhambi ikikomaa uzaa mauti, mauti ambayo ndilo anguko lenyewe,

tahadhali kabla ya hatari.
 
hivi kwa nini walimu wa kiume wa mazoezi ya viungo wana mvuto hivi...???????.sina mpango wa kugegedwa ila daaah ni wazuri kweli..yaani inabidi kuvaa undewear ya chuma na kofuli hivi hivi unaweza kujisahau kuwa umekombolewa na damu ya mwanakondoo etii!!!!!!!!
mmmh ngoja nifocus na zoezi mie...ya ngoswe nimwachie ngoswe....???????....EEEH MUNGU NIHURUMIE .....NISIRUDI DHAMBINI

Kuna kitu si bure!!!
 
tafuta mtu wa kukutuliza mihemko
utaanza na walimu gym
mara daktari ukienda hospitali
mara muuza urembo aliepita
mara huyu mara yule..mwisho umedondoka usipotarajia

Kwi Kwi Kwi Kwi..iyo tunasema MJASIRI AACHI ASILI, huyu anaonekana hata akivaa underwear ya Chuma, ataitupa kule.
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1376761030867.jpg
    uploadfromtaptalk1376761030867.jpg
    22.7 KB · Views: 152
hivi kwa nini walimu wa kiume wa mazoezi ya viungo wana mvuto hivi...???????.sina mpango wa kugegedwa ila daaah ni wazuri kweli..yaani inabidi kuvaa undewear ya chuma na kofuli hivi hivi unaweza kujisahau kuwa umekombolewa na damu ya mwanakondoo etii!!!!!!!!
mmmh ngoja nifocus na zoezi mie...ya ngoswe nimwachie ngoswe....???????....EEEH MUNGU NIHURUMIE .....NISIRUDI DHAMBINI
gym gani hiyo? iko wapi?
 
Back
Top Bottom