Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,305
Khaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!
Hamjampeleka mmoja hosptl??
Wako fit wewe kijana huwezi mpaka uzowee!
Diet na mazoezi ya tokea ujanani yanafaida zake.
Khaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!
Hamjampeleka mmoja hosptl??
Huko akijoin mwanamme tu, gym nzima itakuwa tupu. Manake kule kujifaragua kutapotea
Na hata wewe unaweza kupoteza nuru ya macho. Watu miaka 70 kuelekea 80, wana hot pants wanapigishwa msamba!
hivi kwa nini walimu wa kiume wa mazoezi ya viungo wana mvuto hivi...???????.sina mpango wa kugegedwa ila daaah ni wazuri kweli..yaani inabidi kuvaa undewear ya chuma na kofuli hivi hivi unaweza kujisahau kuwa umekombolewa na damu ya mwanakondoo etii!!!!!!!!
mmmh ngoja nifocus na zoezi mie...ya ngoswe nimwachie ngoswe....???????....EEEH MUNGU NIHURUMIE .....NISIRUDI DHAMBINI

I feel u jamani. Halafu sio miili kama ya wale body builders wanaotisha. No. ki body tu cha ushkaji. Mama weeeeeeeeeee. Lazima ukamatwe uki 'ogle'!! Mh. Those arms. kudaadeki kama namuona.ujue kila mtu ana image ya mtu ampendae ..sasa imahine unaingia mahali ile image ya jamaa unaemdream kila siku unaikuta mbele yako live !!!!!!!!!!! Unaweza kuzimia etiiiii!niko much tempted leo my dear...niombee nitoke salama
lol. nipo best. was busy but am back. tc.I thout you are gone my diya, you are so lost au naniliu kapata mdogo wake?
Hata daktari anaweza kukwambia
ili kupunguza stress 'kunywa beer japo mbili tu' kwa siku..
Kumbe ulishawahi kuwa dhambini ukatokamo, At least leo umekuwa muwazi kwamba kuna wakati ulidanganya umma.hivi kwa nini walimu wa kiume wa mazoezi ya viungo wana mvuto hivi...???????.sina mpango wa kugegedwa ila daaah ni wazuri kweli..yaani inabidi kuvaa undewear ya chuma na kofuli hivi hivi unaweza kujisahau kuwa umekombolewa na damu ya mwanakondoo etii!!!!!!!!
mmmh ngoja nifocus na zoezi mie...ya ngoswe nimwachie ngoswe....???????....EEEH MUNGU NIHURUMIE .....NISIRUDI DHAMBINI
.usibabaike na miili hiyo, muscles zao za kifua zimenyonya ukubwa wa dushe, utakutana na vibamia ushangae
kwani mi yesu miaka yote nipo duniani nisitende dhami jamaniKumbe ulishawahi kuwa dhambini ukatokamo, At least leo umekuwa muwazi kwamba kuna wakati ulidanganya umma.
Maana ulitutamanisha ulipotuambia siku moja kwamba bado kale kakitu kapo. Hahaaaaaaaaakwani mi yesu miaka yote nipo duniani nisitende dhami jamani
neno linasema wote wametenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa mungu.....
Basi Ladyfurahia aliniulizia kweli hicho kitu ni kitu gani, nikamwambia ukinipa ruhusa nitasema. Nafikiri kwa kauli hii atakuwa amekupata.ahahaaaa kakiwepo ndo dhambi yenyewe sasa ...kwanini kawepo?