Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,628
hivi kwa nini walimu wa kiume wa mazoezi ya viungo wana mvuto hivi...???????.sina mpango wa kugegedwa ila daaah ni wazuri kweli..yaani inabidi kuvaa undewear ya chuma na kofuli hivi hivi unaweza kujisahau kuwa umekombolewa na damu ya mwanakondoo etii!!!!!!!!
mmmh ngoja nifocus na zoezi mie...ya ngoswe nimwachie ngoswe....???????....EEEH MUNGU NIHURUMIE .....NISIRUDI DHAMBINI
mmmh ngoja nifocus na zoezi mie...ya ngoswe nimwachie ngoswe....???????....EEEH MUNGU NIHURUMIE .....NISIRUDI DHAMBINI