walimu wa gym wa kiume wana mvuto!

walimu wa gym wa kiume wana mvuto!

I moonlight as a (certified) personal trainer on the weekends and I have a bevy of female clients.

Does that mean I'm a hunk? Or is that what they think of me?

But I'm scared of mixing business with pleasure.

What y'all think? Should I hit it and quit it and tell everybody that I did it?
I see!!
 
tafuta mtu wa kukutuliza mihemko
utaanza na walimu gym
mara daktari ukienda hospitali
mara muuza urembo aliepita
mara huyu mara yule..mwisho umedondoka usipotarajia

Na kama mtu wa kumtuliza hayupo itabidi ACHEMSHE ATA MAJI AKIZAMA ZAKE BAFUNI AJI, AJI, AJI....(aagh batan zinaganda!)
nimecheka sana jana! kuna msichana aliniambia zikimzidi (GE.NYE) hufanya hivyo!
 
Ukiona manyonya ujue keshaliwa..

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
hivi kwa nini walimu wa kiume wa mazoezi ya viungo wana mvuto hivi...???????.sina mpango wa kugegedwa ila daaah ni wazuri kweli..yaani inabidi kuvaa undewear ya chuma na kofuli hivi hivi unaweza kujisahau kuwa umekombolewa na damu ya mwanakondoo etii!!!!!!!!
mmmh ngoja nifocus na zoezi mie...ya ngoswe nimwachie ngoswe....???????....EEEH MUNGU NIHURUMIE .....NISIRUDI DHAMBINI

ushatenda dhambi.... just kwa kuwatamani tu.. shauri yako
 
Mh!siku si nyingi utagegedwa.................Hizo ni dalili tosha!
 
hivi kwa nini walimu wa kiume wa mazoezi ya viungo wana mvuto hivi...???????.sina mpango wa kugegedwa ila daaah ni wazuri kweli..yaani inabidi kuvaa undewear ya chuma na kofuli hivi hivi unaweza kujisahau kuwa umekombolewa na damu ya mwanakondoo etii!!!!!!!!
mmmh ngoja nifocus na zoezi mie...ya ngoswe nimwachie ngoswe....???????....EEEH MUNGU NIHURUMIE .....NISIRUDI DHAMBINI

hahaha kula kitu roho inapenda smile! HEHEHEHE
 
mmmmh as u wish

sikueleweka naona
sijasema anze ku sex na watu tofauti tofauti
atafute a friend with a benefit .....
sio commitment relationship ..just casual..

ILALA+1.jpg
 
Smile nitakuandikisha gym yangu. Wanawake watupu kuanzia wahudumu wa mlangoni, trainers na wahudumiwa

Huko unaweza kuta mtu chuchu linakaribia magotini na tumbo all the way to the floor, wala haterereki. Mazoezi ni afya
 
Naweza kujoin Gaijini? Lol
 
Last edited by a moderator:
Smile, uzuri wa mtu/kitu upo machoni pa anaeangalia

Sema tu na Moyo Wako ili upate ulichokiona ukakipenda hivyo
 
Last edited by a moderator:
Smile nitakuandikisha gym yangu. Wanawake watupu kuanzia wahudumu wa mlangoni, trainers na wahudumiwa

Huko unaweza kuta mtu chuchu linakaribia magotini na tumbo all the way to the floor, wala haterereki. Mazoezi ni afya

Huko hapafai

Wanaume tunasikia burudani kufanya mazoezi na wanawake

N wanawake nao hivyo hivyo

Inasaidia kupunguza stress

I like that!!!!!!
 
Huko akijoin mwanamme tu, gym nzima itakuwa tupu. Manake kule kujifaragua kutapotea

Na hata wewe unaweza kupoteza nuru ya macho. Watu miaka 70 kuelekea 80, wana hot pants wanapigishwa msamba!

Khaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!

Hamjampeleka mmoja hosptl??
 
Huko hapafai

Wanaume tunasikia burudani kufanya mazoezi na wanawake

N wanawake nao hivyo hivyo

Inasaidia kupunguza stress

I like that!!!!!!

Wewe unakwenda kufanya mazoezi kwa ajili ya afya yako au kwa ajili ya kukodolea macho watu wa jinsia nyengine?

Mimi sihitaji kumuona mwanamme gym ili kupunguza stress. Mazoezi yenyewe ndio yanatakiwa kunipunguzia stress huku yakinipa afya ya kiwili wili pia.

Utakuta mtu anakwenda gym ya mchanganyiko, basi tena anaanza ku-stress hata uvaaji wake na muonekano wake kwenye nguo za mazoezi

Kisa?
 
Back
Top Bottom