Jerry santonga
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 647
- 565
Habari ya asubuhi wataalam mbalimbali,chap kwa haraka ngoja niende straight kwenye mada. Nikiwa zangu kwenye daladala nimepanda zangu nikakaa kwenye siti ya nyuma na wadada wawili wanaonekana form 4 leaves wa Tamisemi wamechaguliwa straight kuanza certificate.
Nikavutiwa na confidence yao wanaongea kwa sauti ya juu oh mara kantongozaga yule (wakiwa wanagonga mikono wakicheka)
Kitu kimoja kilichonishanga ni suala waliloongelea la walimu wa field kuwang'ang'ania kimapenzi na wakiwakataa wanawasumbua kwa kuwachapa
Dua la kuku halimpati mwewe ila walifikia kusema walimu wa field wakienda kufundisha wawe wanahasiwa hahahaha daah OMBI LANGU KWA WALIMU WA FIELD HEBU FANYENI KILICHOWAPELEKA HUKO MASHULE NB.Sio walimu wote wenye Tabia hizo ila kwa wale wenye tabia hizo jitahidi kuzishinda hisia..maana itawagharimu kwa uzwazwa wenu
Signing out

, nilipomaliza tu field nikawa najilipa nitakavyo