Hao ni watu wazima ngoja waliwe yawezekana wakapata waume hapoHabari ya asubuhi wataalam mbalimbali,chap kwa haraka ngoja niende straight kwenye mada. Nikiwa zangu kwenye daladala nimepanda zangu nikakaa kwenye siti ya nyuma na wadada wawili wanaonekana form 4 leaves wa Tamisemi wamechaguliwa straight kuanza certificate.
Nikavutiwa na confidence yao wanaongea kwa sauti ya juu oh mara kantongozaga yule (wakiwa wanagonga mikono wakicheka)
Kitu kimoja kilichonishanga ni suala waliloongelea la walimu wa field kuwang'ang'ania kimapenzi na wakiwakataa wanawasumbua kwa kuwachapa
Dua la kuku halimpati mwewe ila walifikia kusema walimu wa field wakienda kufundisha wawe wanahasiwa hahahaha daah OMBI LANGU KWA WALIMU WA FIELD HEBU FANYENI KILICHOWAPELEKA HUKO MASHULE NB.Sio walimu wote wenye Tabia hizo ila kwa wale wenye tabia hizo jitahidi kuzishinda hisia..maana itawagharimu kwa uzwazwa wenu
Signing out
Nakupa kongole kwa kulichukulia swala hili kwa Jicho la kipekeeHao wanaokupiga mawe kwa hii mada inawezekana hawajavaa uhalisia wa binti zao kutongozwa na waalimu
Moja ya situations mbaya kishule shule ama kichuo chuo ni kutongozwa na anayekufundisha
Uko sawa kabisa kwa ulichokiandika....wabadilike wahusika
Inatakiwa kubadilisha fikra sio kuwaza kugegeda tuKweli kabisa mkuu 20 - 23 ndio wanaoenda field mkuu kwakweli bado wadogo na wanakuwa sawa na wanafunzi kimiili hata akili pia inakuwa sio kubwa kivile......
ila sema mabinti tu wanakuwa na huruma na uoga, ila endapo issue kama hizo binti akireport kwenye vyombo husika, kwa tamaa za vijana za ngono hauwezi ruka viunzi lazima ukamatwe red handed na mwanafunzi akiwa pembeni yako....