Walimu mmezidi njaa acheni hizo

Walimu mmezidi njaa acheni hizo

chongoe

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Posts
1,221
Reaction score
2,971
Hapa eneo ninapoish nimefungua kiduka cha wastani tu. Kwakuwa mimi ni mtu wa misafara mara kilwa mara Zenji nikirud safari zangu huwa nakagua biashara au madeni.

Sasa cha ajabu kuna walimu wa shule wawili magumu kulipa madeni, pia kuna walimu wa madrasa hawa wa madrasa wakikopa tena hurudisha haraka sana wakati hawana hata mshahara maalum.

Hawa walimu wa shule wanalipwa halafu wagumu kulipa deni kuna mmoja mpaka nimemsamehe nilikuwa namdai 45,000 ila hawa wawili sitaawaacha abadan jumla nawadai 88,000 walidanganya kulipa kwa bili
 
Hapa eneo ninapoish nimefungua kiduka cha wastani tu kwakuwa mimi ni mtu wa misafara mara kilwa mara zenji nikirud safari zangu huwa nakagua biashara au madeni sasa cha ajabu kuna walimu wa shule wawili magumu kulipa madeni pia kuna walimu wa madrasa hawa wa madrasa wakikopa tena hurudisha haraka sana wakati hawana hata mshahara maalum ilia hawa walimu wa shule wanalipwa alafu wagumu kulipa deni kuna mmoja mpaka nimemsamehe nilikuwa namdai 45,000 ila hawa wawili sitaawaacha abadan jumla nawadai 88,000 walidanganya kulipa kwa bili
Wa Tanzania wote tuko hivo usisakame waalimu tu, kulipa shida sana. Achana na biashara ya kukopesha.
 
Ili mtu aweze kukopa dukani kwako ni vizuri awe ameshajenga trust isiyopungua miezi sita awe na contribution katika duka lako na unabidi kuwa na mtaji mkubwa au size ya Kati ili kuwawezesha wakopaji kukopa na watu wa cash kununua tofauti na hapo unatafuta lawama na kufunga duka lako
 
Hapa eneo ninapoish nimefungua kiduka cha wastani tu kwakuwa mimi ni mtu wa misafara mara kilwa mara zenji nikirud safari zangu huwa nakagua biashara au madeni sasa cha ajabu kuna walimu wa shule wawili magumu kulipa madeni pia kuna walimu wa madrasa hawa wa madrasa wakikopa tena hurudisha haraka sana wakati hawana hata mshahara maalum ilia hawa walimu wa shule wanalipwa alafu wagumu kulipa deni kuna mmoja mpaka nimemsamehe nilikuwa namdai 45,000 ila hawa wawili sitaawaacha abadan jumla nawadai 88,000 walidanganya kulipa kwa bili
Peleka huko upimbi wako
 
ndo ambao wagumu kulipa kwa wateja nilo nao
Wewe utakuwa ni layman tu. Huna duka wala nini, hivyo acha kutuletea fix zako humu. Au unataka na wewe uwe mtu maarufu kama alivyo Mpwayungu Village kupitia mgongo wa walimu?

Maana kuna maelfu ya wafanyabiashara humu jukwaani! Lakini huwezi kuwakuta wanaleta shobo kama hizi za kwako, zaidi ya kutafuta tu machimbo ya fursa.
 
Back
Top Bottom