Hapa eneo ninapoish nimefungua kiduka cha wastani tu. Kwakuwa mimi ni mtu wa misafara mara kilwa mara Zenji nikirud safari zangu huwa nakagua biashara au madeni.
Sasa cha ajabu kuna walimu wa shule wawili magumu kulipa madeni, pia kuna walimu wa madrasa hawa wa madrasa wakikopa tena hurudisha haraka sana wakati hawana hata mshahara maalum.
Hawa walimu wa shule wanalipwa halafu wagumu kulipa deni kuna mmoja mpaka nimemsamehe nilikuwa namdai 45,000 ila hawa wawili sitaawaacha abadan jumla nawadai 88,000 walidanganya kulipa kwa bili