Walimu mmezidi njaa acheni hizo

Walimu mmezidi njaa acheni hizo

Peleka taarifa Kwa mkuu wa shule au mwajiri, hiyo pesa atalipa atake asitake waache kuleta utahila kwenye biashara za watu maana hawa nyumbu ukiwachekea wanakawaida ya kubweteka wataanza kujifanya wanaukaribu wa kumfundisha mtoto wako ili aendelee kukopa.

N. B. Weka bango kubwa kwenye mlango wa duka "" SIKOPESHI WALIMU ""
 
Hata mama muuza genge nyanya hoho na vitunguu ni mfanya biashara we wasemaje?
Ili utambulike kuwa mfanyabiashara lazima uwe umeisajili biashara yako katika mamlaka husika.

Hao wengine ambao hawajajisajili kokote wanatambulika kama wachuuzi tu.
 
Peleka taarifa Kwa mkuu wa shule au mwajiri, hiyo pesa atalipa atake asitake waache kuleta utahila kwenye biashara za watu maana hawa nyumbu ukiwachekea wanakawaida ya kubweteka wataanza kujifanya wanaukaribu wa kumfundisha mtoto wako ili aendelee kukopa.

N. B. Weka bango kubwa kwenye mlango wa duka "" SIKOPESHI WALIMU ""
Waalimi njooni mbaya wenu kafika, mtuambieni ni kweli mkuu wa shule anaweza kulazimsha mualimu kulipa madeni, wakati hana uwezo wa kuzuia mshahara wake
 
Mkuu wa shule ndoanamamlaka ya kushughulikia nidhamu mbovu za walimu iwe ulevi, madeni, umalaya, ugomvi n.k. Pia anamamlaka ya kukuandikisha barua na kukupa adhabu ya makosa madogo madogo kama kukopa sukari Kwa mangi na kulipa hutaki anayo mamlaka ya kukuita na kukuonya ikiwezekana kukupa adhabu hata ya kusimamia usafi wa vyoo vya walimu mwaka mzima. Acha ligi Kwa kitu usichokijua hujui kuwa madeni yanadhalilisha proffesion na walimu wenzako wanakuwa wanafikiliwa ni wapuuzi tu kama mdaiwa
 
Labda uyo mkuu wako🤣🤣🤣
 
Labda uyo mkuu wako
Mkuu yupi kwani mimi ni mwalimu?? Mimi nazungumza kutokana na majukumu ya wakuu wa shule Kwa mujibu wa tume ya utumishi WA walimu (TSC) atakuwa ni msuluhishi wa migogoro ya walimu, walimu na jamii, walimu na wanafunzi, pia ndo mwenye mamlaka ya nidhamu Kwa walimu anauwezo wa kukupa adhabu ya makosa madogo madogo
 
Kuna mwalimu kanitapel 25k yangu hafu ni mwalimu wa taaluma yule mshenzi.
Fanya hivi, omba ratiba ya vipindi vya masomo Kwa wanafunzi waulize huyo ticha anafundisha somo gn baada ya hapo check kwenye timetable ni mda upi ana kipindi uende ukamvurumushe darasani kabisa ikiwezekana subiri mda wa assembly ukamfokee na makofi juu
 
🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom