Zingewesaidiaje? CHADEMA wanasema Tume isoiteuliwe na Rais (iwe Nji ya kwanza duniani Taasisi ya Serkali kutoteuluwa na Rais na kuwahibuka kwake KWA NIABA YA WANANCHI WALIOMPA HAYO MADARAKA, IKIWAMO KUMNYONGA MTU AU KUMDAMEHEME, DUNIA NZUMA IKO HIVYO TUNDU ANAAMINI WATANZANIA HAWAJUI NA HAWANA AKILI KASORO YEYE. Aidha, wanataka Wakala aapishwe na Chama chake badala ya Dola. Tatu wanatanga wagombea wasoenguliwe, mfano yule Wakili wao aliyefombea Uenyekiti Serkali za Mitaa Manyoni huku yeye anaishi Buguruni na kufanya kazi Law Firm iliyoko Kariakoo. Nne, wanataka Rais aitwe ushahidi na ashitakiwe Mahakamani adhalilishwe na maseali ya kunya ya Kibatala huku wakati huo Nchi ivamiwe na maadui. Haya yote yangemsaidiaje Mheshimiwa Makamba?