GE2025 Walichomfanyia Ummy Mwalimu ni zaidi ya kiini macho

GE2025 Walichomfanyia Ummy Mwalimu ni zaidi ya kiini macho

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Aliepitishwa kugombea Ubunge Tanga mjini ni mtu ambaye alipata kura 80 tu za Wajumbe kati ya kura 10,176/= zilizopigwa.

Yaani 1%!!! Na bado tutaendelea kuaminishwa kuwa Viongozi wanapatikana kwa kupigiwa kura?? 😳

Pole sana Odo!!
Odo ndo nini?
 
Akikuambia unistue mkuu
Nilimshauri ila kwa kuwa alikuwa amelewa mataputapu amesahau.

Jana alikunywa Mataputapu maana mama Abdul anapenda sana kunywUlmataputapu na ule mshungi wake wa kuzugia.

Mama alivyosikia hivyo, akamla kichwa kesho yake.
 
uongozi ni kupokezana kijiti, si lazima mtu mmoja miaka yake yote tu yeye ndio awe kiongozi
 
Moi aliitawala Kenya kwa mkono wa chuma zaidi ya miaka 20 hawakukoa,zaidi kuimba twende Nairobi kumsifu Baba Moi.
Kawauwa watu maarufu kama waziri wa nchi za nje Dr Auko.
Mtangulizi wake Mzee Jomo Kenyata kawafyeka waziri maarufu Tom Mboya,Masinde Muliro na mbuge machachari Josua Mwagi Kariuki.
Kama haitoshi Raisi Mwai Kibaki aliiba kura za uchaguzi,wakakimbia kumtawaza usiku, japo Laila ndie alikuwa ameshinda,machafuko makubwa yalitokea na kuzusha vita vya makabila.
Maelezo marefu sana kama mto Ruvu, hapo mantiki yako kuu ni nini sasa ?
 
Nilimshauri ila kwa kuwa alikuwa amelewa mataputapu amesahau.

Jana alikunywa Mataputapu maana mama Abdul anapenda sana kunywUlmataputapu na ule mshungi wake wa kuzugia.

Mama alivyosikia hivyo, akamla kichwa kesho yake.
Mkuu ni kweli alisema mataputapu ama Konyagi?
 
Back
Top Bottom