Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,472
- 7,276
Kwani sasa halewi kweli?Sialisema mama analewa whiskey
Kwani sasa halewi kweli?Sialisema mama analewa whiskey
Mwenyekiti tu wengine picha tu mleKwani maamuzi hufanywa na mtu mmoja? Au wanabishana kwa hoja kwenye hiyo kamati yao na kufikia uamuzi Ummy tumwache.
ha ha ha na wajamtepu na clip wakampelekea mamaSialisema mama analewa whiskey
Wapiganie reforms za nini na 99.9% ya walioshinda wamerudishwa. Jidanganye ewe nyumbuCCM wapiganie sana Reforms kama wanaona mbali siyo pesa tu wakati wote.
Maybe yes maybe no.Kuna maeneo kama matatu hivi ndio yamefanyika mabadiliko maeneo mengine walioshinda ndio waliotangazwa
Zile zilikuwa kura za maoni hiyo inaitwa nyuma geukaAliepitishwa kugombea Ubunge Tanga mjini ni mtu ambaye alipata kura 80 tu za Wajumbe kati ya kura 10,176/= zilizopigwa.
Yaani 1%!!! Na bado tutaendelea kuaminishwa kuwa Viongozi wanapatikana kwa kupigiwa kura?? 😳
Pole sana Odo!!
Ukute kweliSialisema mama analewa whiskey
Kwani uongo? Waliosema kuwa ni msagaji mbona hawakukatwa?Sialisema mama analewa whiskey
Uongo umejifunza ukubwani?Kuna maeneo kama matatu hivi ndio yamefanyika mabadiliko maeneo mengine walioshinda ndio waliotangazwa
Moi aliitawala Kenya kwa mkono wa chuma zaidi ya miaka 20 hawakukoa,zaidi kuimba twende Nairobi kumsifu Baba Moi.Hii Tanzania laiti kama ingekuwa ndio Kenya huyo kikongwe wenu zamani angeshaachia madaraka........
Ummy alitofautiama nini ma huyo mama yao? Au aliona kusifu na kuabudu kumezidi kipimo.Aliepitishwa kugombea Ubunge Tanga mjini ni mtu ambaye alipata kura 80 tu za Wajumbe kati ya kura 10,176/= zilizopigwa.
Yaani 1%!!! Na bado tutaendelea kuaminishwa kuwa Viongozi wanapatikana kwa kupigiwa kura?? 😳
Pole sana Odo!!
Sio whisky ni konyagi 😃Sialisema mama analewa whiskey
Weka tusikie soteUlisikia ile voice note ya Odo?
March 2021, wakati wako Tanga kwenye jukwaa, Samia alisema, Magufuli alimtuma hapo Tanga, Ummy alionekana kuinamisha kichwa, kana kwamba anasikitika hivi. Hiyo ilikuwa kabla ya kutangaza rasmi kuwa Magu amefariki..Duhh nimeona mkuu..labda Kuna mengine nyuma ya pazia..kama ni whiskey hii hii sizani kama ni tatizo sana
Jamaa kabet kwa jero kapiga 25M, yeye mwenyewe hakutegemea.Aliepitishwa kugombea Ubunge Tanga mjini ni mtu ambaye alipata kura 80 tu za Wajumbe kati ya kura 10,176/= zilizopigwa.
Yaani 1%!!! Na bado tutaendelea kuaminishwa kuwa Viongozi wanapatikana kwa kupigiwa kura?? 😳
Pole sana Odo!!
Kuliko Angela Kairuki kule Kibamba?Lamda alitoa rushwa.