Mfalme_wa_Nyika
JF-Expert Member
- May 24, 2023
- 684
- 1,541
Catherine Magige jana alienda kwenye uchaguzi wao pale ukumbi wa AICC Arusha akiwa anajiamini kuwa atapata kuchaguliwa na wanawake wenzake wa ccm tena viti maalum kwa kipindi cha miaka mitano tena na kukamilisha ngwe ya miaka 20...
Mbunge mzigo huyu ambaye kwa miaka 15 alikuwa bungeni tu kama sukari ya vigogo wa serikali hafanyi lolote zaidi kuuza sura sasa urembo umeshaisha kawa mshangazi akaja tena kwa wamama kutaka kura..
Unaambiwa kujiamini kwake kulikuwa ni kutokana na mpunga mkubwa aliotoa kwa wajumbe kushinda washindani wenzake wote, hakulala usiku nak kucha kuzunguka kumwaga pesa (rushwa) ila alichofanywa jana hakuambia...CATHERNE MAGIGE JANA AKAFANYWA MBAYA.
HILI ni ANGALIZO KWA PAUL MAKONDA anayedhani kuwa WAJUMBE NI RAFIKI ZAKE, Mimi kama Nabii wa Nyikani, nawaambia kuwa PAUL MAKONDA ATAFANYWA KITU HATAAMINI NA WAJUMBE WA CHAMA CHAKE , ASIFIKIRI YUKO SALAMA KWA KUJIAMINI BAADA YA KUFANYA FIGISU ZAKE KWA GAMBO KUFANIKIWA.
Makonda Sikia, Arusha hutakaa kuwa mbunge wake sio kwenye kura za uchaguzi mkuu wala kwenye kura zenu za wajumbe wa CCM.
Catherine Magige mwezako keshanyolewa wewe TIA MAJI.