Walichofanya HELSB sio haki!

Kusoma kazi na bado kaz nyingne ya kuish na boom wallah huwa nikifkriab haya mambo huwa ndo kabsa nafkria cheti cha form four nikichome
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha kabsaaa
 
Ingekuwa walipaji wana spid kama wakati wanakopa bodi isingekosa fedha. Bodi wanapata shida sana kuwapata baadhi ya watu hasa WA miaka ya nyuma.
 
Magu hostel
Sio vyuo vyote vina hostel za bei chee..

Sauti mwanza mdogo wangu analipa 400k kwa semister yaani miezi minne na sio kwamba ni option ya juu,no hiyo ndo nafuu au kawaida..so unapotoa hoja usibase tu udsm as if hicho ndo chuo pekee TZ

Bodi hawajafanya fair kuwakata hizo fedha,maana wenye hostel hizo wanalipwa kwa semister na sio mwezi,so kupungua kwa siku za kukaa chuo hakusaidii lolote
 
Mimi nasemea udsm kwa experience huko kwingine I have no idea kwa kweli hafu tangazo la body wamefanya calculation ya siku wanazokaa kwa semister ndio ikaja hyo laki tatu na ushee, sioni haja ya kulaumu. Maana kwa siku 8500 Sasa wamekaa pungufu tu walipwe.
Hafu hyo hela ya hostel too expensive si wakodi nyumba haswa
 
Ungejua Ungeaachana Nao Maana Wamekupunguzia Mzigo Wa Kuja Kulipa! Wengine Tunajuta Kusomeshwa Na Heslb
 
Afu kingine n kwamba kukaa hostel shida yake ipo kwenye chakula. Baadhi ya vyuo wanakuwa wanauza chakula bei ghali sana ukilinganisha na kujipikia mwenyewe. Jmn tunaokaa nje siyo kuwa tunakula Bata sana but n kuokoa maisha tu
 
Hela ya boom bhanaa...!! Wanaoipata ndo wanajua ni hela ndogo sanaa ila wanaoisikia tu wanaamini ni pesa flani ya maana sanaa..
 
Hela ya boom bhanaa...!! Wanaoipata ndo wanajua ni hela ndogo sanaa ila wanaoisikia tu wanaamini ni pesa flani ya maana sanaa..
Ni ndogo mno atu ina matumizi kibao. Mara umalizie ada hujanunua ata materials ya kujisomea n.k
 
[emoji23][emoji23][emoji23]mzee pigia kura ccm
 
Ungejua Ungeaachana Nao Maana Wamekupunguzia Mzigo Wa Kuja Kulipa! Wengine Tunajuta Kusomeshwa Na Heslb
Huna akiri ungekuwa unajua wangapi wamekosa elimu ya chuo kwasababu ya hali ngumu wamekosa mkopo usingeandika ujinga.

Ninyi ndio muliopewa mkopo huku mukiwa hamustahili.
 
Maisha kweli yanaenda kuwa magumu
 
Shida unaishi chuoni hafu unapanga ka mfanyakazi kwa kutegemea boom, badala mubaki hostel Tena sikuhizi Kuna Magufuli hostel hazijajaa, hyo hela ya kuishi kitaa Bora uhifadhi ufanyie ujasiriamali
Sawa ngoja tutumie facts tuone.

Currently udsm Una jumla ya vitanda 10,893. Katika hostel za magufuli, mabibo na campus.

pia udsm ina zaidi ya wanafunzi 30000. Sasa izo nafasi unazosema zinakosa watu umetoa wapi.
Wakati chuo kinakabiliwa na tatizo la upungufu wa Accommodation. Ni vizuri ukatoa siasa na ushabiki kwenye mijadala ya maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…