uporo wa wali ndondo
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 3,454
- 2,244
Sasa wewe boya unataka tuache kunywa pombe,unataka tunywe nini?
Naskia Jiwe naye hanywi!! JK mkubwa, Mkapa na Jk mdogo wazee wa vyombo sana! JK mdogo anakesha na whisky usiku kucha huku anapiga vikaoMtu asiye kunywa pombe wanatakuwaga na ushamba fulani
Ova
anataka tunywe togwa kama yeye.Sasa wewe boya unataka tuache kunywa pombe,unataka tunywe nini?
Jiwe sura yake tu inaonyesha sio mpiga vyombo .Naskia Jiwe naye hanywi!! JK mkubwa, Mkapa na Jk mdogo wazee wa vyombo sana! JK mdogo anakesha na whisky usiku kucha huku anapiga vikao
Hapa mkuu umefeli. Unaweza ukawa Ofisini na mkeo analiwa kimasihara na muuze genge mtaani kwako. Mambo haya hayana formula.Asante mkuu. Huwa nawaonea huruma sana wanapojitetea. Mara mimi nakunywa kwa mahesabu, mara ninaweza kuendesha gari nikiwa bwii. Yaani wanatumia nguvu kubwa sana.
Wewe uko Bar mkeo analiwa kimasihara na wahuni huko mtaani.
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Ngoja tujifarijiMlevi ni mlevi tu hata kama unakunywa bia mbili kwa siku bado hiyo ni pombe.
Kuna jamaa tunafanya naye kazi anatumia nguvu kubwa kujitetea kuhusu ulevi wake baada ya heshima yake kushuka. Hadi namuonea huruma.
Kuna baadhi ya ofisi huwezi kuaminika au kuheshimika kama unatumia kilevi.
Vijana tuwe makini na pombe, usifanye vitu kwa kufuata mkumbo ili uonekane na wewe wa kisasa.
Pombe itakuharibia kazi, heshima yako, ndoa yako na uhusiano wako na jamii.
Nimefaya uchunguzi binafsi kwenye taasisi tofauti, watu wasiokunywa pombe wanaaminiwa na kuheshimika kuliko wanaotumia kilevi.
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Jamaa wametisha kwenye huu uzi wanajitetea balaa[emoji1787][emoji1787][emoji23] leo ndio nimethibisha ule msemo wa wahenga "ukitaka kujua nguvu ya mlevi umwage pombe yake"
Ila walevi mnaushirikiano sana, yaani mkianzisha chama halafu mkaingia kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi, kwa huo ushirikiano mnaouonyesha lazima muukwae uraisi na wabunge wa kutosha.
Nani kamwaga pombe yangu naulizaaaaaaa!!!!!!!!
True, na mimi ndo sinaga time naoWafuatiliaji Sana wa maisha ya watu..wivu..unafiki...gubu....nk nk
Fanya juu chini ufunge viwanda vyote vya pombeUlimbukeni na kuiga ni kubaya sana. Dogo tumemuajiri katoka chuo akiwa safi. Kufika ofisini anaanza kufuata mkumbo wa walevi utadhani mtoto wa form I au form II.
Vijana muwe makini na future zenu, familia zinawategemea.
Ninaongea kwa uchungu kama kaka yenu ninayewapenda, SIO KWAMBA NAWAONEA WIVU.
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Temana nae huyoKwahyo msiouknywa hamkaziwi hao wake zenu au?..mwe...