Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,109
- 53,626
Kwani pombe na ngono ndo tafsiri ya wewe kuwa mtu mzima?Kusingekuwa na pombe na ngono mtu mzima angekuwa na tofauti gani na mtoto??
Kwani pombe na ngono ndo tafsiri ya wewe kuwa mtu mzima?Kusingekuwa na pombe na ngono mtu mzima angekuwa na tofauti gani na mtoto??
Safi sana mzee baba kila kada na profesional yake kwa askari pia msalimie braza MasabaSisi wazee wa drilling mabosi wetu wengi wanakula sana mtungi na fegi so kama hutumii kimoja kati ya hivyo anakuona snitch na ni ngumu kuwa rafiki yake. So swala la kuaminika ofisini nadhani inategemea na aina ya kampuni na mabosi