Walevi wanajifariji sana

Walevi wanajifariji sana

Moja ya mambo asiyotakiwa kufanya mtoto ni pamoja na kunywa pombe na kufanya ngono.
Haya ni mambo ya mtu mzima tu sasa nashangaa mnaogopa kunywa pombe wazee shida nini? Kunyweni pombe kikubwa msizidishe mpaka mkafanya mambo ya ajabu kwenye jamii
Ni moja ya mambo na sio yote......fanya mambo mengine ambayo mtoto hatakiwi kufanya mfano kujenga nyumba nenda kajenge tuone mtoto afanye....
 
Na kutwa kucha kuwasema wanywaji.. utawasikia... ANGEKUWA MBALI SANA YULE, TATIZO POMBE..!! Uliza sasa alivyonavyo yeye..!! Utashangaa... ukimwambia akuonyeshe alivyosevu kwa kitokunywa pombe, HANA KITU.... na wanywaji wengine wamewaacha mbali wanywa juisi kimaendeleo
Watu wa aina ya mleta maada huwa wana stress za maisha na wenyewe ndio wanahitahi uponyaji wa nafsi kuliko wanaodhani.
 
FB_IMG_15912909019469971.jpg
 
Kuna wengi wameingia huko bila kutegemea kinachotukumba wengi tunadhani ndo suluhisho LA kupunguza stress na ni changamoto kubwa saaana
 
Mlevi ni mlevi tu hata kama unakunywa bia mbili kwa siku bado hiyo ni pombe.

Kuna jamaa tunafanya naye kazi anatumia nguvu kubwa kujitetea kuhusu ulevi wake baada ya heshima yake kushuka. Hadi namuonea huruma.

Kuna baadhi ya ofisi huwezi kuaminika au kuheshimika kama unatumia kilevi.

Vijana tuwe makini na pombe, usifanye vitu kwa kufuata mkumbo ili uonekane na wewe wa kisasa.

Pombe itakuharibia kazi, heshima yako, ndoa yako na uhusiano wako na jamii.

Nimefaya uchunguzi binafsi kwenye taasisi tofauti, watu wasiokunywa pombe wanaaminiwa na kuheshimika kuliko wasiotumia kilevi.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Wewe ni mmoja wa mafala,mwache dogo ale bia ,nyie si mnaendekeza chini,kila mtu anauhuru wa kuchagua,wakati dogo anakula bia we uko gesti unafanya umalaya
 
Kuna wengi wameingia huko bila kutegemea kinachotukumba wengi tunadhani ndo suluhisho LA kupunguza stress na ni changamoto kubwa saaana
Kweli mkuu. Ulevi ni tatizo. Na wengi hawajui watokaje. Wamebaki kujifariji tu.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Asante mkuu. Huwa nawaonea huruma sana wanapojitetea. Mara mimi nakunywa kwa mahesabu, mara ninaweza kuendesha gari nikiwa bwii. Yaani wanatumia nguvu kubwa sana.

Wewe uko Bar mkeo analiwa kimasihara na wahuni huko mtaani.

Acha upuuzi wewe nani amekwambia walevi wakiwa bar ndo wake zao wanagongwa??

Wewe ongelea hao vijana wa kazini kwako ambao wanalewa kijinga basi lakini usihusushe wote

Sie wengine tumezaliwa babu anakata maji mshua anakata maji na tunakata maji kama mamba mpaka saivi sijaon hayo madhara

Kijijini kwetu mambo ya kiume yote yanaongelewa kilabuni na wasiolewa tunawashangaa hivyo hivyo😄😄😄😄

Karibu tunywe Dadii na Dengerua hapa mkuu. Maisha yenyewe mafupi haya
 
Mlevi ni mlevi tu hata kama unakunywa bia mbili kwa siku bado hiyo ni pombe.

Kuna jamaa tunafanya naye kazi anatumia nguvu kubwa kujitetea kuhusu ulevi wake baada ya heshima yake kushuka. Hadi namuonea huruma.

Kuna baadhi ya ofisi huwezi kuaminika au kuheshimika kama unatumia kilevi.

Vijana tuwe makini na pombe, usifanye vitu kwa kufuata mkumbo ili uonekane na wewe wa kisasa.

Pombe itakuharibia kazi, heshima yako, ndoa yako na uhusiano wako na jamii.

Nimefaya uchunguzi binafsi kwenye taasisi tofauti, watu wasiokunywa pombe wanaaminiwa na kuheshimika kuliko wanaotumia kilevi.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Ulichoandika kwenye heading na content yake naona ni tofauti,hujaeleza ni kwa vipi wanajifariji.
 
Asante mkuu. Huwa nawaonea huruma sana wanapojitetea. Mara mimi nakunywa kwa mahesabu, mara ninaweza kuendesha gari nikiwa bwii. Yaani wanatumia nguvu kubwa sana.

Wewe uko Bar mkeo analiwa kimasihara na wahuni huko mtaani.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app

Kwa hiyo ambao hawanywi pombe ndio wake wao hawawezi kuliwa?
...akili zako zimekaa kushoto kweli!
Tena wewe utagongewa sana, tena wala siyo na wahuni bali hao hao unawaita walevi na hutakuwa na uwezo wa kuwafanya chochote!
 
Mlevi ni mlevi tu hata kama unakunywa bia mbili kwa siku bado hiyo ni pombe.

Kuna jamaa tunafanya naye kazi anatumia nguvu kubwa kujitetea kuhusu ulevi wake baada ya heshima yake kushuka. Hadi namuonea huruma.

Kuna baadhi ya ofisi huwezi kuaminika au kuheshimika kama unatumia kilevi.

Vijana tuwe makini na pombe, usifanye vitu kwa kufuata mkumbo ili uonekane na wewe wa kisasa.

Pombe itakuharibia kazi, heshima yako, ndoa yako na uhusiano wako na jamii.

Nimefaya uchunguzi binafsi kwenye taasisi tofauti, watu wasiokunywa pombe wanaaminiwa na kuheshimika kuliko wanaotumia kilevi.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Kama hunywi pombe, hiyo kazi faida yake nini sasa?
 
Back
Top Bottom