Huyo labda chuoni alikua msongo......wengine tulishafanya starehe zote chuoni tulivorudi kitaa tunaona hamna jipyaUlimbukeni na kuiga ni kubaya sana. Dogo tumemuajiri katoka chuo akiwa safi. Kufika ofisini anaanza kufuata mkumbo wa walevi utadhani mtoto wa form I au form II.
Vijana muwe makini na future zenu, familia zinawategemea.
Ninaongea kwa uchungu kama kaka yenu ninayewapenda, SIO KWAMBA NAWAONEA WIVU.
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Magu hanywi, according to watu wake wa karibuMtu wa kwanza anayetakiwa kuheshimika nchini ni Rais wa Nchi,historia inainyesha Marais wote waliongoza Tanzania hamna ambaye hakuwahi kutotumia pombe.
So unachotaka kusema ni kwamba kutoka Nyerere mpaka Magu hamna hata moja aliyeheshimika kisa pombe???.
Poor argument.
Kumbe STONE hagusi alcohol?Naskia Jiwe naye hanywi!! JK mkubwa, Mkapa na Jk mdogo wazee wa vyombo sana! JK mdogo anakesha na whisky usiku kucha huku anapiga vikao
Mzee Mkapa hakuheshimika na kukubalika? Maana alikua mtumia mzuri sana wa kilevi.Mlevi ni mlevi tu hata kama unakunywa bia mbili kwa siku bado hiyo ni pombe.
Kuna jamaa tunafanya naye kazi anatumia nguvu kubwa kujitetea kuhusu ulevi wake baada ya heshima yake kushuka. Hadi namuonea huruma.
Kuna baadhi ya ofisi huwezi kuaminika au kuheshimika kama unatumia kilevi.
Vijana tuwe makini na pombe, usifanye vitu kwa kufuata mkumbo ili uonekane na wewe wa kisasa.
Pombe itakuharibia kazi, heshima yako, ndoa yako na uhusiano wako na jamii.
Nimefaya uchunguzi binafsi kwenye taasisi tofauti, watu wasiokunywa pombe wanaaminiwa na kuheshimika kuliko wanaotumia kilevi.
Kwa wanaume wengi wanakuaga na umama sanaHakuna watu wanafki kama wasiyo tumia kilevi
Ova
Kwani usipokuwa bar mkeo ndo aliwi?Asante mkuu. Huwa nawaonea huruma sana wanapojitetea. Mara mimi nakunywa kwa mahesabu, mara ninaweza kuendesha gari nikiwa bwii. Yaani wanatumia nguvu kubwa sana.
Wewe uko Bar mkeo analiwa kimasihara na wahuni huko mtaani.
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Nikweli mwamba.Kwa hiyo ambao hawanywi pombe ndio wake wao hawawezi kuliwa?
...akili zako zimekaa kushoto kweli!
Tena wewe utagongewa sana, tena wala siyo na wahuni bali hao hao unawaita walevi na hutakuwa na uwezo wa kuwafanya chochote!
Bora umeliona kama mimi, watu kama hawa kazini upenda kujipendekeza na kuwachongea wengine.Aache ujinga aseme ni kitu gani amefanya extra ordinary kwa kuwa hanywi pombe.. kwanza kwa thread yake tu anaonekana snitch wakati naye ni mwajiriwa!
juzi nimetoka kumkasanga mke wa ustadh,sasa sijui ustadh naye anapiga ulabu au😂😂😂Hajui sikolojia za wanawake huyo...muombee
🙊🙊🙊Una tabia mbayaajuzi nimetoka kumkasanga mke wa ustadh,sasa sijui ustadh naye anapiga ulabu au😂😂😂
Kwani hizo soda hazina madhara kiafya?Walevi mmetisha sana kwenye huu uzi.
Ila mkumbuke familia zenu basi maana tunawaona wenzenu wengine huku mitaani wametelekeza familia kisa gambe.
Na pia muwe mnafanya ukaguzi wa mara kwa mara wa afya zenu kwani mtake msitake pombe ina madhara kiafya kwa kiwango chochote kile inachonywewa na hapa msilete ngonjera za "unywaji pombe kupita kiasi...".
Chengine mkumbuke starehe duniani sio pombe tu na sio kila anayekunywa pombe ni mjanja na mtu wa dili kama vile ambavyo wasiokunywa pombe sio wote ni washamba na wasiojua starehe.
Venginevyo endeleeni kula maji maisha ni kuchagua na kila mtu afurahie chaguo lake.
Mleta uzi wasindikize masela na wimbo wa "Dear gambe" kutoka kwa Young Killer Msodoki wasukutue koo kabla ya kushushia vyombozzz!.